Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu si ndio alikuwa anasambaza uwongo kuhusu corona Tanzania!

Mbona anaanza kushoboka mapema au anadhani tumesahau!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani JPM anategua hiki anabandika kingine, jana ametoka kuruhusu KQ leo kaja na pini nyingine, yaani haishiwi visa ni kama ameviorodhesha mahali anaviachia tu in his preferred frequency and intervals
Magufuli mwenyezi Mungu atamlipa cku moja uko ahera kwa uzalendo wake anapambana sn huyu mzee na anaamini Tz ni tajiri na haiwezi kupitwa na nchi yyte Afrika hii achilia mbali kenya sema ni uzembe tu na lack of creativity ya viongozi ndo imetufikisha hapa.

Mm nawaambia WaTz wenzangu tuwe wavumilivu hii nchi ipo salama katika mikono salama ya huyu mzee japo kwa sasa hali ni ngumu lakini tutashinda hii hali na wote wanaombeza Magu watamsifia cku akifa.
 
wakuu huyu Benjamin ,,,kwa mtu yeyote aliyetumia jicho la tatu,,,,ataelewa tu , ,


narudia huyu Benjamin siku za usoni panapo pumzi ,,,,,anakoelekea ni mwendo wa kuwa rich.....

nachokisema kipoView attachment 1571028
Yaani katika watu ninaowaelewa ni huyu benja na Isaya Yunge kama serikali ikiamua kuwatumia hawa vijana.tz itafika mbali sana
 
Sure, haiwezekani sisi tuna bandari halafu wafanyabiashara wanatumia bandari za majirani, huo ni uhujumu uchumi.
 
Amen πŸ™ŒπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…