Hua nikiwaambia hawaamini kama uchumi wa kenya umeshikwa na wageni wao wamebakia kusaga meno😀😀😀😀😱[emoji17][emoji17]Maskin uchumi mkubwa ulioshikwa na mabepali wachache ..disadvantages of settler economy
Kawe city soon
View attachment 526021
Nitafitie pic zake plzIshaisha hyo mkuu
Fantastic aiseeThe Luminary Dar
Sure nimeyaona thanksIchoboy
Hayo majengo yenye crane hapo
Alaf kuna majengo mawili yalikua national housing pale uhuru na msimbazi kuna majengo yanapanda makubwa sana zote kwa pamoja....nikipita ntachukua pic.....Ichoboy
Hayo majengo yenye crane hapo