Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye hizo account hawatoi contents kama zile za TRC. Hili suala hata Dr. Hassan Abbasi aliwahi kulisema.
Ila kuajiri watu watatu kwa ajili ya kumwaga chai kwenye project si sawa! ni misuse of resources hizi ni projects ambazo zinahitaji more project managers, more technicians and more engineers na si magazeti kuhitaji wamwaga chai! hizi ni responsibilities ya existing media houses tukianza na TBC!

Kwa mfano mi sioni umuhimu wa Mwanantala kukopi video za Yapi kila wakati wakati yapi-Merkezi wana press release kila mwezi pia! Zile fedha za kuwalipa wale jamaa wa TRC zingeweza kuongeza railway engineers!
 
Kilimani 4th biggest district in Nairobi,many towers are coming up like PTA tower (20flr)coming up nicely, building with the cranePTA tower render
 
Huu msumari umewauma sn Wakenya [emoji3][emoji3]
 
Hii ndio meaning of transform to Tz
 
Mbn picha km ya 2000s, kwn miaka hyo kulikuwa na picha za rangi?
Kwani picha za 1960 haziwezi kuwa na negative zake zikasafishwa kwa color? Babu mbona una-argue kiajabu? Technology is so advanced u only need a negative even of 1880s photo kuisafisha in color!
 
Hii ndio meaning of transform to Tz
Hapa mnaweza kuona kwanini JPM kaanza kujenga Mwanza-Isaka SGR, believe me during launching Museveni atakuwapo achuje mbivu na mbichi!

As million of dollars zinaenda Chongoleani kujenga crude oil terminal, ironically it is pretty obvious Uganda's economy is oriented to Chongoleani.

Aside the fact a refinery n an international airport at Hoim a new economic hub at Western Uganda that can easily be linked up with an SGR to Kigali at Keza in Tanzania via Mtukula border running parallel to EACOP to Hoima a distance of less than 400 km.
 
Kwa mfano mi sioni umuhimu wa Mwanantala kukopi video za Yapi kila wakati wakati yapi-Merkezi wana press release kila mwezi pia! Zile fedha za kuwalipa wale jamaa wa TRC zingeweza kuongeza railway engineers!
Hapo jamaa huwa anachemsha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…