Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hvi we unaijua 20 billion usd?????? 😀😀😀
Naona hua unaropoka tu
Kumbe hujielew bado
Na uniletee source kua 20billion usd imeekwa na wakenya tanzania na sitakuachia juu ya hili mpaka tufunge biashara na mm na wewe
 
nimeuliza juu ukitaka on-going projects niko nazo nyingi sana hautaamini. tread carefully. wenzako kina kidoda na jichoboy walikuja wakatulizwa
Ulimtuliza nani wewe acha kujisifu mzee wa diani uliishia wapi????😀😀😀😀😀
Diani ilikushinda utamtuliza nani
 
We are so good mpaka they have to be singling us out and chase us out in their country jus because we are there to take their top jobs,how many kenyan companies are listed in their DSE?
Hebu zitaje alaf tuanze kuchunguza moja baada ya moja😀😀😀😀😀
 
Tafuta ikwapi dar ukiikuta njoo uniue lakini baba wa slum duniani @ nairobi😀😀😀😀😀😀😀
Yani wakenya ni bora mukae kimya kwenye slums maana muna maisha ya kuzimu

List of slums - Wikipedia
Wewe Nairobi wanahadi Hospitali ndani ya slum.Sisi huku watu wanaanzisha hospitali nzuri lakini wengine wanafungia na serikali. Lakiona hii hospitalit wanafanya hadi oparesheni yakutaili wanaume na kukata visimi wanawake. Nairobi hapo. Hivi Kenya kuna serikali.?? Nasikia ma nurse wahi hosipali pia wapo kwenye mgomo wakuongezewa mshahara
 
Safi sana mulisaaa speed yako zaidi ya 4G watanyooka tu
 
Yani wanamaisha yakuzimu mm sijawah kushuhudia maisha kama haya tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…