Anafikiri watu wote ni mafirauni..akwende zake na u Gomora wake huko.Angalia unavyotangaza biashara humu unasema nikupanguse nini? Unazani wanaume wote huwa wanawapakua wanawake au co, hebu nitolee ujinga wako hapa usitake kunipeleka motoni mie, icho kikalio chako nenda kawatangazie wengine humu Jf wapo wanaojua kushika shika watu matako sio mm[emoji3][emoji3]
Ile ya mlima ni nzuri zaid kwa maana ya kivutio chetudesign imebadilika bado mzuri though!
umeanza 😀 😀 😀 ☝ ! ridhika na unachopewa kaka. Mimi as long as more than 60,000 people can sit and watch a match sina complications nyingi Mkapa stadium type is pretty enough for me!Ile ya mlima ni nzuri zaid kwa maana ya kivutio chetu
Mkuu hii design aliyoiweka Naton Jr km ndo yenyewe basi ni very modern stadium ambazo naziona ulaya tu tuombe Mungu iwe ndio iyo.Ile ya mlima ni nzuri zaid kwa maana ya kivutio chetu
kwanza naona kama wanachelewa kuujenga wafanye chap kwa kweliMkuu hii design aliyoiweka Naton Jr km ndo yenyewe basi ni very modern stadium ambazo naziona ulaya tu tuombe Mungu iwe ndio iyo.
Hii kitu km ndo yenyewe basi co mchezo mzee na hapo asipewe mchina ni wajanja wajanja sn wale usipokuwa makini atafanya yale yale ya Mkapa stadium.kwanza naona kama wanachelewa kuujenga wafanye chap kwa kweli
Nimependa transparent fabric ya paa lake pia roof orifice space. Ule wa mwanzo roof looked heavy yaani with many steel structures meaning tensile strength yake itahitaji many pillars to support the structure!?Hii kitu km ndo yenyewe basi co mchezo mzee na hapo asipewe mchina ni wajanja wajanja sn wale usipokuwa makini atafanya yale yale ya Mkapa stadium.View attachment 1562403
ni kweli kabisa....Hii kitu km ndo yenyewe basi co mchezo mzee na hapo asipewe mchina ni wajanja wajanja sn wale usipokuwa makini atafanya yale yale ya Mkapa stadium.View attachment 1562403
Sio final official design hiyo na pia it's not a soccer football stadium, watu wawe makini kdgo kwenye kupost vituMkuu hii design aliyoiweka Naton Jr km ndo yenyewe basi ni very modern stadium ambazo naziona ulaya tu tuombe Mungu iwe ndio iyo.
Na nmeskia tetesi kama serikali itaujenga wenyewe bila msaada wowote..Hivi huu uwanja ni ule aliohaidi yule mfalme wa Morocco,au ni mwingine?
Why do they want PPP in sports and arts arena..Serikali si itoe tu 20-30 billion and get it done au labda PPP itafanya management iwe nzuri zaidi..maybe thts what they want
[emoji23][emoji23][emoji23]umeanza 😀 😀 😀 [emoji121] ! ridhika na unachopewa kaka. Mimi as long as more than 60,000 people can sit and watch a match sina complications nyingi Mkapa stadium type is pretty enough for me!