Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi ipo, mchezo umeanza kujulikana taratibu
 
Kazi ipo, mchezo umeanza kujulikana taratibu
Uhuru amefanya kenya kama ndio brokeside vile ananyonya tu.

afu mnakuja huku kusema mna millionaire wengi kuliko Tanzania? kwa hela chafu za ufisadi???

Budaa kwa politicians kenya iko na mabilionea wengi kushinda bongo.
 
Is like I`m just wasting my time arguing with you. YOU CAN`T BE ALBINO IF YOU HAVE NORMAL PARENTS. Please read the second paragraph in this screenshot
View attachment 1539317
😀😀😀😀😀
Kilaza at your best..you can't be albino if you have normal parents!!!!..nenda kadai ada yako shule uliyosoma ulienda kupoteza muda
 
Uhuru amefanya kenya kama ndio brokeside vile ananyonya tu.

Budaa kwa politicians kenya iko na mabilionea wengi kushinda bongo.

endelea na akili hizo hizo, wenzako wananeemeka na pesa za WB na IMF huku nyie mnalia njaa..

ila polen sana wakenya wote kwa jinsi Uhuru anavyoifanya Kenya shamba la bibi yake
 
Huyo jamaa alisoma biology ya kibera,mbona ni kilaza sana😁🤣

Yaani hakuna analolijua aisee
 
ni kweli kabisa
 
All members of the family can be albino if both mother and father are albinos. You just have to accept that.
Here is how it will be
Albino mother= a/a
Albino father= a/a

All Children will be a/a meaning they will all be albino.
Hahaha, so funny, Hujui hata vitu basic kabisa, ?
Hata secondary hujafika wewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tanzania haijwahi kugawa mask ya Jack ma kwa wananchi wake, Sasa inakuaje hawa majirani waseme kwamba vifaa vya Corona vilikuja Tanzania?
ujue Tanzania inaitesa sana serikali ya kenya ,,,,,

kinachofanyika kenya kwa sasa ni kuweka attension eatu na kenya bila kuitaja Tsnzania kwenye kanjanja zake huwa wanapoteza radha hivyo ili wasikike lazima waimention Tz
 
Hii ni hujuma kubwa ambavyo mpaka sasa nategemea kuskia atua za balozi wetu wa Kenya...hatuwezi kuchafuana hivyo...wanajaribu kuonyesha uwepo wa corona TZ ama pia wanataka kutuchafua kwamba tunahusika na Ufisadi ulioko kwenye nchi yao...hii ni kusema tunaifanyia serikali yao hujuma.....Nategemea kumskia Balozi wetu leo.
 
huwa hatuchelewi siunajua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…