Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi na Kenya at large nyie ni big boy kubaki mnabishana na watu ambao ndio kwaanza wanatambaa ni ujinga,imagine ndio kwanza flyover zinaingia dar 2020..Miradi kama hii labda 2050 huku ndio Tzn inaweza pata
 
Ila tuna watu wana uelewa mdogo saana,ukiangalia coments za hiyo tweet utaona bado kuna wimbi la wajinga humu nchini bado wanaigwaya Kunya...ila uyo alopost kaiweka sawa saana.
Wanaigwaya au wanaongea ukweli? Tzn hii bado saaana kuilinganisha na Kenya kwenye kila kitu licha ya kujitutumua huko,si viwanda wala elimu,si teknologia wala housing na ustaarabu,ukija kwenye bussiness agressiveness ndio kabisaa bado tunategemea serikali na masoko ya ndani
 
asante kwa taarifa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…