Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii thread nadhani ndio inaoongoza kwa kutumia storage space kubwa kwenye server za jf maana mapicha picha na videos ni nyingi sana tangu huu uzi uanzishwe. Hivyo tunaomba wakenya mpunguze kurudia rudia kupost picha za majengo ili tusijaze server za watu bure kwa hizo repeated photoz. Muda si mrefu kuna alert ya storage limit kwa hii thread itakuja toka kwa jf admin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…