Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With time mambo yatakua shega tu.So 2025 maybe tutaanza kuwatafuta Angola maana tushamalizana na Ghana

Kwa trend inavyokwenda nategemea kuona gap kati ya TZ na kenya likipungua kwa kasi sana maana kwa mapinduzi na mageuzi ya kiuchumi yaliyofanyika TZ na uboreshaji wa mazingira wezeshe ya uwekezaji ni kwamba uchumi wetu utapaa sana. Role ya kenya kama middle man itatoka hivyo atapoteza mapato makubwa na investment zitashift from nairobi to TZ.
 
Hiki ndicho nnachokijua mm.
 
I always see Mafia..having a potential of Zanzibar ..just underutilized...so so much potential...it needs a good Regional airport to start with...with ability to handle A220/737s...

Then iwe promoted to investors zijengwe beach za maana..esp local/foreign joint ventures...

Baada ya hapo...niamini mm kile kisiwa pekee kinaweza kuwa kinaleta zaid ya 200k tourist kwa mwaka
 
For sure nakubaliana na analysis yako[emoji1666]
 
Wanaweweseka mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]


tatizo hawa jamaa (hasa hasa Kenyatta kiongozi wao) hawataki kwenda kiafrican way,, wanafata wanachofanya wazungu, Tanzania tushukuru Mungu Magu hapendi kufata mambo ya western world, kikwete angekuwa madarakan tungeangamia, mana hana tofauti na kenyatta kufata mambo ya kiwestern
 
Kenya GDP ni chini ya $76bil don't trust IMF,
Na GDP ya Kenya inakwenda kushuka course of covid
 
Wakuu kwa huu mwendo tunaoenda nao panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu ifikapo 2024 gdp yetu itashangaza watu humu nyie subirini, hyo $92b ni ya kitoto sn, niko optimistic mno kwny hili tusubiri muda utaongea.
Hiyo $92bil uenda ndiyo tupo nayo sasa tatizo mabeberu wanafiki wanapenda kutu underestimate ila huu mwaka wameanza kuumbuka wakaona waipandishe tz kuwa MIC ghafla bini vuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…