Emporis - WikipediaKwanza tuzungumzie "credibility" ya hii source yako. Hii inaendelea kusema kwamba " Nairobi is the largest city between Cairo and Johannesburg". Ni wazi kwamba hii imeandikwa na mkenya ili kuisifia Nairobi. Inasema population ya Nairobi ni 1.3M wakati ni zaidi ya 4M, hii inaonyesha iliandikwa 1980s. Tafadhali Kanusha hii source kwanza ndio tuweze kuwa na "meaningful discussion "
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ivi izo hicho kiblog mlitoa wapi kinasema DSm ina 2millions ....ujinga mtupu....mm nimeleta hii km unapinga leta yako...hapaLeta data ya 2020 utashangaa
Akuna cha kindly hapo huo niupupu ntupu....eti Dsm ina 2 plus millions of people ....kama kweli ww ungekuwa kindly hebu angalia hapa k/koo tu iko hivi unaweza tuambia iyo mia na 9 wamepataje...?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116]Emporis - Wikipedia
Hii source si ya mkenya kindly research about it....alafu niambie jengo gani liko dar na bado halijatajwa apo
Naomba kwanza ukanushe, "your sources are not credible and not trusted". Kanusha kwanza ndio nikujibu swali lake.Emporis - Wikipedia
Hii source si ya mkenya kindly research about it....alafu niambie jengo gani liko dar na bado halijatajwa apo
Nairobi Kenya. Always beautiful
View attachment 1512841
Acha kuongea upumbavu, kati ya Tanzania na Kenya ipi inayotunza mazingira? Ipi yenye miti mingi mijini?Hilo pori limewachwa hapo kimakusudi ili kuboresha mazingira ya Nairobi. Mtu akipatikana akikata miti anafungwa gerezani. Sisi tunajali mambo ya mazingira sio kama nyinyi mnakata miti hovyo halafu mnatukejeli kwa kukuza miti. Halafu nyie mkishafahamu kuwa mna majengo mbilikimo huwa mnaanza kulialia, mnaanza kusema eti hatuna social services. Tumewazoea
Dodoma is the next best thing halafu hapo sio government city!
Dodoma next big thingA journey of 1000 miles starts with a first step
You need help....like clinically. Have you ever been to Sandton au unaiona mtandaoni tu na kuleta domo lako hapa?? Because this is the upper hill that you can’t show us 😂😂Talking of Upperhill Nairobi, apart from Sandton South Africa, there is no such Business District anywhere else in Africa.
View attachment 1512848
You need help....like clinically. Have you ever been to Sandton au unaiona mtandaoni tu na kuleta domo lako hapa?? Because this is the upper hill that you can’t show us [emoji23][emoji23]View attachment 1512900
Halafu in other news......naona Britam iko desperate kupata tenants kwenye Britam tower. This is what happens when you construct a building like that in a city whose real estate value is only $9 bn. You have a long way ahead of you kunyans.
View attachment 1512902
mwaka wa nne kitu kinatafuta wapangaji! 😀 😀 ☝You need help....like clinically. Have you ever been to Sandton au unaiona mtandaoni tu na kuleta domo lako hapa?? Because this is the upper hill that you can’t show us 😂😂View attachment 1512900
Halafu in other news......naona Britam iko desperate kupata tenants kwenye Britam tower. This is what happens when you construct a building like that in a city whose real estate value is only $9 bn. You have a long way ahead of you kunyans.
View attachment 1512902
Wacha ukahaba. Nairobi national park imepakana na Nairobi. Dar slum haijapakana na msitu wowote.Acha kuongea upumbavu, kati ya Tanzania na Kenya ipi inayotunza mazingira? Ipi yenye miti mingi mijini?
Unajua Pugu Hill Forest reserve?Wacha ukahaba. Nairobi national park imepakana na Nairobi. Dar slum haijapakana na msitu wowote.
Yani hiyo ndiyo Nairobi yote kuzunguka ni mapori tuNdo hili jungle hapa, huoni aibu, tofauti ya Dar na Nairobi ni pori mzee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1512267
Pugu forest reserve haijapakana na Dar. Halafu pia pugu na pori dogo sana.Unajua Pugu Hill Forest reserve?