Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu kama hizi zipo nyingi tu Nairobi... Sana sana mitaani huko kama githurai,umoja na mitaa mingine mingi tu
 
Yaani faraja unayojipa ni kama mtu anaepiga nyeto vile
 
Sehemu kama hizi zipo nyingi tu Nairobi... Sana sana mitaani huko kama githurai,umoja na mitaa mingine mingi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4]ndio jibu ilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]niko hoiiii umenifraisha snaaa...alafu ndio mko mbele ya Tz ....tumia akili acha kutumia migui kufikiriaaa.....
 
[emoji116][emoji116]
Hiyo list ya emporis hata haijafika 20% ya majengo ya Nairobi.... Hayo ni machache walioweza kupata na bado mengi yanajengwa,halafu nimewambia mda kwa mda kariokoo huku ni nyingi hadi shida...sio Mombasa road...sio ngara
 
Hiyo list ya emporis hata haijafika 20% ya majengo ya Nairobi.... Hayo ni machache walioweza kupata na bado mengi yanajengwa,halafu nimewambia mda kwa mda kariokoo huku ni nyingi hadi shida...sio Mombasa road...sio ngaraView attachment 1512754
Ukimaliza kujifany fala nileteee mm hiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1512755
 
Hii source yako inaonyesha Kwamba population ya Dar ni 2,487,000, Wakati ni 5.5M, bado unataka tuamini?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo list ya emporis hata haijafika 20% ya majengo ya Nairobi.... Hayo ni machache walioweza kupata na bado mengi yanajengwa,halafu nimewambia mda kwa mda kariokoo huku ni nyingi hadi shida...sio Mombasa road...sio ngaraView attachment 1512754
Hiki ulicho leta kijarib bati hapa pc no 1 .....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iyo ya 2 ujue nisehem ya 2 usijaribu km unavyo ona siyo level yenuuuu ....kunya niuchafuuu[emoji382][emoji382][emoji23][emoji4][emoji4]
 
Niambie jengo gani ambalo liko dar na halijatajwa apo?
Kwanza tuzungumzie "credibility" ya hii source yako. Hii inaendelea kusema kwamba " Nairobi is the largest city between Cairo and Johannesburg". Ni wazi kwamba hii imeandikwa na mkenya ili kuisifia Nairobi. Inasema population ya Nairobi ni 1.3M wakati ni zaidi ya 4M, hii inaonyesha iliandikwa 1980s. Tafadhali Kanusha hii source kwanza ndio tuweze kuwa na "meaningful discussion "

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…