Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu, unalazimisha ama unatamani iwe useless lakini wapi.,
Flyover is from a bypass connecting to Kisumu airport Busia highway., it's a busy road, roundabout was removed to reduce slow flow of traffic, this must have been a Sunday., kwani engineers ni wajinga?
Ukiangalia miradi mingi ya kenya imekaa kiupigaji, ss hapo mliweka hyo barabara ya juu ili iweje, mbn hakuna uhitaji hapo au mliweka ili na nyie ionekane mna barabara ya juu porini
 
Excuse never escape your brain...always blablabla...do you mean your here to make a jokes ?...point hapa ni kwanini nyie humu hamjawai hata sikumoja kukosoa au kuwa wazi pale serikali yenu inapo boronga...km Tz ....so jibu au km huwez acha...kuna uzi ngapi humu na ukienda kuangalia utaona mikenya nikujikanyaga n kutetea upuzi tu...inaonekana ndivyo mlivyo
 
na hiyo ni river ruvu kubwa sana na kuna mamba na viboko wakufa mtu hapo
 
A fair enough reply. If most Tanzanians will be honest like you...
You demand honest replies from us whilst u don't do like that, there are some Kenyans here who always lie to us by bringing in here the projects which are either not yet U/C or not alive at all. Charity begins at home.
 
Only in Dar., coming soon in Mombasa, outside Dar you don't have serious cities with serious road infrastructure kiukweli., keep up. Not bad.
Iko wapi hyo ya Mombasa, lete picha za site wacha maneno mingi [emoji3][emoji3]
 
Hapo sifanyi kazi ng'o!.; Mamba na Viboko!, naogopa those two creatures, what have seen they can do through Nat Geo., hapo wacha kazi ikae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na hiyo ni river ruvu kubwa sana na kuna mamba na viboko wakufa mtu hapo
 
Only in Dar., coming soon in Mombasa, outside Dar you don't have serious cities with serious road infrastructure kiukweli., keep up. Not bad.
Pia soon subiri kutokea mwanza na dodoma kutakuwa n flyover ...lakin kusu cable bridges dont dare challenge us
 
You demand honest replies from us whilst u don't do like that, there are some Kenyans here who always lie to us by bringing in here the projects which are either not yet U/C or not alive at all. Charity begins at home.
The reason it's a debate, answer with facts, challenge or respond accordingly, shida iko wapi? Nyie nikulazimisha mtazamo wenyu, cherry picking info to suit your bias. Here in Kenyan News section is more of Tanzanian news than Kenya., u post about Tanzania then call out Kenya against what is posted, what do you expect?[emoji23][emoji23][emoji23] tulia tu, this is Kenyan section in writing tu, but Tanzanian base. Mumejaa humu.
 
You demand honest replies from us whilst u don't do like that, there are some Kenyans here who always lie to us by bringing in here the projects which are either not yet U/C or not alive at all. Charity begins at home.
The reason it's a debate, answer with facts, challenge or respond accordingly, shida iko wapi? Nyie nikulazimisha mtazamo wenyu, cherry picking info to suit your bias. Here in Kenyan News section is more of Tanzanian news than Kenya., u post about Tanzania then call out Kenya against what is posted, what do you expect?[emoji23][emoji23][emoji23] tulia tu, this is Kenyan section in writing tu, but Tanzanian base. Mumejaa humu.
 
Hapo sifanyi kazi ng'o!.; Mamba na Viboko!, naogopa those two creatures, what have seen they can do through Nat Geo., hapo wacha kazi ikae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na tayar ujenzi uko over 70% katika hilo daraja nguzo zote zishasimama

 
You demand honest replies from us whilst u don't do like that, there are some Kenyans here who always lie to us by bringing in here the projects which are either not yet U/C or not alive at all. Charity begins at home.
The reason it's a debate, answer with facts, challenge or respond accordingly, shida iko wapi? Nyie nikulazimisha mtazamo wenyu, cherry picking info to suit your bias. Here in Kenyan News section is more of Tanzanian news than Kenya., u post about Tanzania then call out Kenya against what is posted, what do you expect?[emoji23][emoji23][emoji23] tulia tu, this is Kenyan section in writing tu, but Tanzanian base. Mumejaa humu.
 
Wewe unaongelea Mwanza na Dodoma, Kenya outside Nairobi, flyovers are in Mombasa, Kisumu, Nakuru, Eldoret(U/C), Nakuru, a small village town Chavakali, Webuye, Kericho at junction ya Kericho/kisumu highway(U/C 90% complete last I passed there, maybe now it is), Thika, Ruiru, Machakos county etc.,
Pia soon subiri kutokea mwanza na dodoma kutakuwa n flyover ...lakin kusu cable bridges dont dare challenge us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…