Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu ikishawekwa kwa website itafikicha aje? Secondly, between having a physical board and sharing information on the internet which one will reach a larger group of people? Your reasoning though!
[emoji3][emoji3][emoji3] asilimia kubwa ya Wakenya wa pale Kibera hawana uwezo hata wa kununua mkate instead wanapika mkate aliou doubt Jesus ndo wapate cm ya kuperuzi mtandaoni? Pathetic
 
[emoji3][emoji3][emoji3] asilimia kubwa ya Wakenya wa pale Kibera hawana uwezo hata wa kununua mkate instead wanapika mkate aliou doubt Jesus ndo wapate cm ya kuperuzi mtandaoni? Pathetic
Umeishiwa hoja. Kojoa ulale sasa uamke mapema kesho kupambana na maisha ya tandale. I just wanted to pump some sense into your head and judging by the way you talk, I think I have succeeded
 
I am not a boy like you are. I am a man. Facts? What facts are you stating? That your sgr station is poorly designed? If your extra floors are useful, what makes you think ours aren't? Isn't that desperation?
You are such a drama queen. Yaani huna argument ya muhimu. PERIOD! Kanywe vidonge 💊
 

Hata mimi pia naweza ku-upload picha inayoonesha bulldozer na misumeno ya kukatia miti nikasema tanzania tunajenga expressway..hizo mambo inafaa uwe unawaambia slum boys wa kibera au your fellow watchmen ingekuwa poa zaidi
 
Huu ni ushuzi wako au? Haya sema ni overrated [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

 
Umeishiwa hoja. Kojoa ulale sasa uamke mapema kesho kupambana na maisha ya tandale. I just wanted to pump some sense into your head and judging by the way you talk, I think I have succeeded
U have succeeded in what? In agreeing with the foolish decision of not to inform the majority about their right to know each and everything concerning government projects or what?
 
ubungo interchange kule chini pemben direction ya kutoka riverside kwenda mwenge wameshanza kuweka taa na pavements.. ase pale kutapendeza.. ila nina wasiwasi na wamachinga, wanaweza kublock njia
Dah hyo ya wamachinga kublock njia ni (π) 22/7, inakera but mkulu ndo keshaamua hivyo.
 
Wamachinga na mama ntilie wanaharibu hii city kwa kweli,inabidi serikali iweke siasa pembeni katika hili..
Ilitakiwa wawekewe sehemu maalumu kwa mfano kwa kkoo kule upande wa mchikichini ndiyo kungekuwa eneo la wamachinga na mama ntilie, wangetengeneza ule mto vzr ili usilijaze lile bonde zen wachuuzi wawekwe kule, km mm kipato changu kinatosha nguo za mmachinga na chakula cha mamantilie naenda mchikichini ila huku mjini kuwe na maduka rasmi kuliko ilivyo sasa wamachinga wamejaa barabarani mpk roads hazionekani yn hovyo hovyo, hili suala mm siliafiki hata kidogo.
 

lile eneo pale unakata corner kama unatoka kimara kwenda mwenge.. kwann hapo wasipanunue na kujenga modern market ya ghorofa kama ya pale magomeni? na wamachinga wote wa hapo ubungo nzima wahamishiwe kwenye hio modern market!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…