Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have to know the difference between households connected( access rate) and villages connected. What Ichoboy showed me is villages connected.
Mbona unaignore habari??? Taarifa imetoa access rate ya umeme nchini kuwa 86.4% na pia electrification ya rural areas kuwa imekua. Ni vitu viwili tofauti. utasumbuka sana mwaka huu😂😂😂
 
Acha ujinga, mngekuwa kwa hii list. This list still proves my point that Tanzania has an access rate of 42%


Wewe ni mjinga sana.Kwa hiyo figures Zako unazotoa kichwani Ndio unataka ziwe hizo na zikubaliwe? Mara 32% Mara 42% acha upuuzi. Kama huamini kuwa accessibility yetu ya umeme sasa ni 86.4% tembea. Huna haja ya ku-guess.
 
Hii pesa ya one litre inaweza kalipa fare ya sgr kutoka Nairobi hadi Mombasa na lunch chicken full
1520 TSH at 21.74 exchange rate ni sawa na 70 Kenyan Shillings. Unaweza fanya hayo uliyosema na 70 Kenyan Shillings?? sijui Huko Gorofani kama pako sawa.
 

Attachments

  • Screen Shot 2020-06-03 at 18.25.56.png
    78 KB · Views: 17
  • Screen Shot 2020-06-03 at 18.26.25.png
    74.7 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…