Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The view from rooftop Dar buildings is something to behold.
























you are nailing it bro....thanks for your initiative of bringing us photos that show the beauty of dar es salaam from different places/directions.
 
Nawaambia kweli. Hoteli za kifahari ni nyingi Westlands Kushinda Dar mzima
 
buda usimfie mtu mwenye bidii ya kujibu kila post ambayo anakuwa addressed hapa jf au ile ambayo amekua quoted.

you need to feel sorry for him cos he could be into an addiction of online social networking or he is kenyan jobless young man.

mtu ambaye yupo responsible and occupied hawezi kuwa na bidii ya kujibu kila post jf.
 
Nawaambia kweli. Hoteli za kifahari ni nyingi Westlands Kushinda Dar mzima

Hizi sio dharau sasa ..huku ni kututukana [emoji43]..we wembe zimetimia uko kichwan kweli[emoji53][emoji53][emoji53][emoji848]..au ushapendeza
 
Haha hizi station nizamwaka gani?

July last year. hii ndio train yao. sio mbaya vile but speeds zake ziko slow. ningepost picha za venye wao hupigana makumbo kuingia kwa train ni wako na tickets but hizo pages zimenipotelea
 
Wa Kenya nafasi mlio pewa ni kuleta all cities and towns in Kenya mshindane na only DSM in Tanzania sasa naona mnaleta na nchi zingine ziwasaidie mmeleta Rwanda, uganda na sasa Nigeria
panda kitandani ulale. kesho ni shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…