The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kijana unajua maana ya underpass?
Kama hii ni underpass basi hata nyumba unayoishi ni undershelter
Sijaona barabara iliyopita CHINI YA ARDHI mpaka uite underpass wala hata juu ya hicho unachokiita underpass hakuna treni wala magari wala pedestrians wala ndege inayopita juu ya hiyo structure
Saa nyingine ni kujua tu simple English terminologies sio mpaka uwe mhandisi wa ujenzi.
Kwakweli nimegundua hawa jamaa ni wahuni sn, yn hawana interchange wala underpass hata moja, nimeamini baada ya kuleta zile renders za hyo miradi hakuna sehemu wameandika interchanges, Wana miundombinu ya kizamani mno, cc tulikubali hatuna hzo vitu now tunajenga kwa kasi ili kuendana na majiji ya kisasa wao wanajifariji na miundombinu ya kizamani kweli washafeli[emoji3][emoji3][emoji3]Hajapost interchange hata 1
Ni junctions 3
Wewe umeona interchange hapo?
Iyo milio inayo toka uko north utafikiri panya kabanwa na mlango hembu fikiria Ubungo interchnge imefany tuone miozo yao y flyover za tofali walio kuwa wanaita interchange...ngoja tuongeze volume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utasikia mihemo y kutishaaaYani hii miaka miwili ndo tunaenda kuzika hii battle rasmi, mana km wameshindwa kuhimili kishindo cha bwana mdogo ubungo interchange je wataweza kuhimili vishindo vijavyo vyenye ujazo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu kuna vyuma vingine vinakuja vya adabu, yn wakenya wa leo waandike kuwa wapo ktk error mby mno.Iyo milio inayo toka uko north utafikiri panya kabanwa na mlango hembu fikiria Ubungo interchnge imefany tuone miozo yao y flyover za tofali walio kuwa wanaita interchange...ngoja tuongeze volume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utasikia mihemo y kutishaaa
Bosi wao sasa hivi anafanya kazi ya kukopi na kupesti na hii interchange ya ubungo anaweza kukopi na kupesti kama atabahatika kupata mkopo mwingine toka kwa wachina.Kwakweli nimegundua hawa jamaa ni wahuni sn, yn hawana interchange wala underpass hata moja, nimeamini baada ya kuleta zile renders za hyo miradi hakuna sehemu wameandika interchanges, Wana miundombinu ya kizamani mno, cc tulikubali hatuna hzo vitu now tunajenga kwa kasi ili kuendana na majiji ya kisasa wao wanajifariji na miundombinu ya kizamani kweli washafeli[emoji3][emoji3][emoji3]
Mda c mrefu watakuwa hawakopeshekiBosi wao sasa hivi anafanya kazi ya kukopi na kupesti na hii interchange ya ubungo anaweza kukopi na kupesti kama atabahatika kupata mkopo mwingine toka kwa wachina.
yani mzungu hawezi kua mpuuzi hata siku moja😂😂😂👇👇👇👇Maneno nyingi ni ya nini? View attachment 1466166
ubungo interchange imewatia hasira😂😂Kuja muine amekasirika[emoji23][emoji23]
Hakuna mtu anamiliki hapo[emoji122][emoji122][emoji122]
miaka hio form five nilipangiwa hii shule ila sikuenda [emoji1][emoji122]
Utajuaje meaning ya underpass wakati hamuna?Kijana unajua maana ya underpass?
Kama hii ni underpass basi hata nyumba unayoishi ni undershelter
Sijaona barabara iliyopita CHINI YA ARDHI mpaka uite underpass wala hata juu ya hicho unachokiita underpass hakuna treni wala magari wala pedestrians wala ndege inayopita juu ya hiyo structure
Saa nyingine ni kujua tu simple English terminologies sio mpaka uwe mhandisi wa ujenzi.