Yeah kweli...lets sayPesa nyingi sana,serikali hii ingeielekezea kwenye tiba na elimu
Mwendo Mndundo ATCL
Aliyebuni rangi na michoro ya hz ndege alitisha sn[emoji122][emoji122]
Hili suala la ICT ni muhimu sana kwa dunia ya sasa, nafikiri kungekuwa na utaratibu vijana wetu wangeanzia shule za msingi, viwekwe vifaa muhimu na wataalamu hususan walimu wa ICT waende kufundisha kwa vitendo na co bra bra, yn iwe ni somo la lazima kuanzia shule za msingi mpaka o level, itasaidia sana.Yeah kweli...lets say
1.Kwenye elimu wajenge special Academies ICT na Programming and coding
2.Kusomesha ma specialist wengi wa sector mbali mbali na kuwapa contract za kufundisha Tz ili kuwa tie..
Specialist wa Mahospital ( Ma doc ma nurse etc), Ma enginner , coaches wa football na michezo mbali mbali ili ku develop vijana
3. Waongeze wigo wa watu kupata mikopo nafuu ya kilimo na watoe zaidi elimu ya kilimo na kushusha intrest za mikopo kwa small farmers
4.Wajenge barabara za vijijini maana vijini nako kuna shida
Hizo ni suggestion zangu ..wafanye wanalooana ila wanfufaishe watu tena wangekua waonesha imeenda wapi na wapi as in budget maalum watu wangefurahi zaidi
Yeah kitu kama coding...programing etc..Hili suala la ICT ni muhimu sana kwa dunia ya sasa, nafikiri kungekuwa na utaratibu vijana wetu wangeanzia shule za msingi, viwekwe vifaa muhimu na wataalamu hususan walimu wa ICT waende kufundisha kwa vitendo na co bra bra, yn iwe ni somo la lazima kuanzia shule za msingi mpaka o level, itasaidia sana.
Hilo SKY Tower limetulia[emoji91][emoji91]
Sure na ndo mana nkasema ianze shule za msingi mpaka form4 zen advance kunakuwa na comb ya computer, hii itasaidia ata chuo mtu anakuwa na idea hata km hakuchukua comb yny computer kule advance.Yeah kitu kama coding...programing etc..
Kuwe na ma PC shule za msingi kama vile maabara alfu kuwe na comb ya mambo ya ICT sio PCM sijui yani curriculum ya Tz ibadilsihwe watu waaanze ku specalize mapema ...sana ..katika sector mbali mbali .mhata michezo inaingiza hela basi tu watu hawajui kuitumia
Mkuu hyo picha ya 3 c mchezo ilo vibe lake[emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1460316View attachment 1460317View attachment 1460318
Ngosha ni muumini wa solutions at home!nimepata list ya presidential trips zake
List of presidential trips made by John Magufuli - Wikipedia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1460365