Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Lowasa na Arusha mjini kama nani!!! Hawa watu si wa kuachiwa wafanya wanavyotaka!! Sasa wameamua kusafiri kwenda kwenye miji waliyoangukia pua wakachakachue!!

JK- Mwanza.
EL- Arusha
BWM & AHM- Zanzibar kumchakachua Maalim!! Hawa watu bana!!!:A S angry:
 
Lowasa kaenda kugawa rushwa tu kwa sababu hausiki kwa lolote. Tuombe Mungu njaa isihinde dhamira ya kupigania haki za wapiga kura
 
yani hali ianpoelekea mbona inatisha, kwani yeye kama anni mpaka atoe hiyo amri....inatia hofu kwa kweli.

Halafu cha kushangaza wakuu wa NEC wako kimyaaaaaa! si ajabu wameambiwa wasiseme lolote, hali inatisha kusema kweli.:angry:
 
Chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tume ya uchaguzi will be held responsible for what will happen

Hawa nmajitu yenye ubinafsi uliyozidi ubinafsi wote hawana dhamira hata ya kuwasuta. hawaoni kama sisi ni binadamu tena webye akili na uwezomkubwa wa kufikiri. everything they do ni kwa nufaa yao no matter how small it is and how much damage ubinafsi wao unaweza ukaleta.
 
Heshima kwenu wanajamvi,


Wakuu taarifa za kanzi Lema anabembelezwa kwa mshiko wa nguvu [1 bilion] afanye kama alivyofanya mwaka 2005.Wadau kama kuna viongozi wa CHADEMA tafadhali sana wawahi manispaa Lema akiachwa peke yake atafanya biashara faster ni kawaida yake nilishawahi kudokeza ni moja ya sifa zake.
 
Wakuu matokeo mapya hapo Arusha yanasema baada ya kuhesabu eti batilda anaongoza.
 
Huyu jamaa ana nia mbaya...
Hafai kabisa kwa jamii ya sasa...
Ingekuwa nina uwezo wa kuloga huyu ningemgauze jiwe la msingi City Park...
 
Huko serikalini kila mtu ni coward yuko scared kikweli kweli. Kuhesabiwa upya kuna maana gani? Kuhesabiwa upya ni kuwa masanduku yatakayohesabiwa si yale yaliyopigiwa kura tarehe 31.
 
Hivi vigogo wa upinzani wako wapi saa hizi?kina slaa na lipumba nao wazungukie hayo maeneo ambayo ccm wanataka kuchakachua ili kuwadhibiti
 
nani amkubalie???? hatutaki kabisaa na arudi monduli hapo mjini anatafuta nini jamani?
 
Hali bado ni tete hapa Arusha juu ya nani ni mshindi ingawa kuna kila dalili ya CHADEMA kuchukua jimbo hili lakini lolote linaweza kutokea. Ukweli ni kwamba Lowasa alitinga eneo la tukio lakini haikufahamika zaidi sababu za ujio wake wakati yeye alishapeta Monduli. Watu ni wengi mno eneo la halmashauri ya Arusha wakisubiri matokeo. Habari zaidi zinatema bado maeneo ya maeneo ya Kimandoro bado zoezi la uhesabuji kura linaendelea ambalo ndilo linalosababisha ucheleweshaji wa matokeo. Barabara ya kuelekea halmashauri imefungwa huku kukiwa na ulinzi mkali kabisa toka jeshi la Polosi ambao wanaonekana kijizatiti vya kutosha endapo rasha ya aina yoyote itatokea.
 

Attachments

  • P1100635.JPG
    P1100635.JPG
    425.7 KB · Views: 63
  • P1100637.JPG
    P1100637.JPG
    468.1 KB · Views: 67
heshima kwenu wanajamvi,


wakuu taarifa za kanzi lema anabembelezwa kwa mshiko wa nguvu [1 bilion] afanye kama alivyofanya mwaka 2005.wadau kama kuna viongozi wa chadema tafadhali sana wawahi manispaa lema akiachwa peke yake atafanya biashara faster ni kawaida yake nilishawahi kudokeza ni moja ya sifa zake.

kama mnaijua tabia yake hiyo ilikuwaje mumpigie debe na kumpa kura!!!!! Sasa siri yenu ndio inaanza kutoka taratibu......,kumbe munalazimisha viongozi bomu halafu mnatudanganya kuwa wako safi!!! Aibu gani hii!!!
 
Wewe uko wapi? Mara Matilda kakataa kusaini mara wazee wamemshauri akasaini. Which is which yooo.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom