Batilda Agoma Kusaini Matokeo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PakaJimmy, Nov 1, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
  Nafuatilia zaidi.
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Siku ya kufa nyani ...................
   
 3. T

  The King JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..... Batilda atagoma kusaini matokeo hahahahaha imekula kwao :peace::peace::peace:
   
 4. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko chali nini mkuu? Asaini fasta Doctor mzima anaogopa? Si akatafute kazi zingine huyu mama vipi?
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hao si ndo walikuwa wa kwanza kusema wapinzani wakubali matokeo sasa vipi tena kwao?
  Lazima walinywe, maana washalikoroga
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  atatosha tu
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Anataka madalaka haaamini kinachotokea
  mapinduziiii daimaaaaa
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Life's challenges are not supposed to paralyze you, they're supposed to help you discover who you are !SIGN TU MAMA
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Ata akigoma msindi ameshajulikana
   
 10. c

  chanai JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa anawakatalia wananchi waliopiga kura? Akafie mbali
   
 11. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Si unajua mkuu udocta wao ni wa kubahatisha, yawezekana hahitajiki kwingine maana kama ni potential asingehangaika
  kama Dr. JK ni PhD ya nini, akafanye kazi kani tena
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Dr Mzima hajui kuwa kuna kushinda na kushindwa?
  Mama kuwa mpole sign tuu kama bosi wako JK atakavyosign kesho/kutwa
   
 13. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Wananchi wamezungumza, yeye hana la kusema wala hana la kufanya. Kama umezoea kushinda unaweza kudhani kuingia kwenye uchaguzi si kushindana bali kushinda. Safari hii na milele daima, watanzania wameamua kuwa wao watakuwa ndio waamuzi wa nani awe kiongozi au mwakilishi wao. Batilda, saini tu hiyo fomu mama!!
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  True kama ni dr. wa kweli anaweza kwenda choo kikuu cha dar es salaam kuchakachua kura za maoni na dr. bana
   
 15. T

  The King JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani ningekuwa kainzi huko aliko mkwere na wapambe wake ili nisikie yanayojiri katika mazungumzo yao.:peace::peace::peace:
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kaka Ngongo nakusalimia....Mzima kakaaaa?
  Ngongo nimekusubiri sana...
  Pol;e na maumivu..lakini kiume komaaa tu kaka!
  Maisha yanaendelea!
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Miti yote huteleza!!!:deadhorse:
   
 18. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Jamani huyu mama atajifungulia ofisini kwa mkurugenzi. Nawashauri wapambe wake wamshauri akubali matokeo. Kata 9 kwa CHADEMA 4 kwaTLP anataka nini tena? Wimbi hili la mageuzi ni kubwa mno wajameeni. Watu wamefanya kampeni na ze comdedy kisha wanatarajia ushindi. God forbid!
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha mbavu sina mzalendo wa watu. Hivi hawa ssm si walisema tujiandae kukubali matoke, sasa iweje bidada agome kusaini. Haku a rafu yoyote sasa anagoma nini. Ushindi wa tsunami Arusha mjini sasa anaogopa au? Hivi hata mwenendo wa kampeni zake si alijua fika kuwa atahsindwa? Hebu awahi kwa daktari kupima mapigo yake na kiumbe chake asisumbue watu huyo.
   
 20. m

  mamtaresi Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hallow inaonyesha huyu mama alionga sana ndo maana aamini kama kapigwa chini asaini bwana asitake watu waanza vita. Hatutaki kumwaga damu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...