Bataaaa,habari ndio hiyo.

Sangomwile

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
3,195
1,021
Si unajua bata dume anavyolia?kuna jamaa aliiba bata dume watatu,wale bata walikuwa wanalia sana.Katika kuua so hasikamatwe jamaa akawa anawajibu wale bata kila wanapolia.BATA "Ha,ha".MWIZI "Habari ndio hiyooo.Mwizi akatengeneza chorus kama Mwana FA.Ha ha,habari ndio hiyo,ha ha,habari ndio hiyooo.
 
Back
Top Bottom