itaitwa ziara ya mafunzoAmeshapiga makelele na clouds.
Sasa hivi anakula bata mbele kwenye winter nchi za watu.
Akirudi hapa utamkuta power break fast
Clouds tv
Kariakoo na wamachinga
Kaenda kwa wauza kahawa
Ila kiuhalisia magari tu ya mwendo kasi hayana ratiba ya maana ya kukidhi watu wa kimara.
Bara bara za kuingia kwenye stendi ya Makumbusho ni jipu kubwa.
Mengine anayajua mwenyeww GSM home shopping magufuli
Mualiko wa wiki moja ujerumaniitaitwa ziara ya mafunzo