min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,845
- 176,071
Kuna madogo wapenda bata , sasa umetoka zako huko , umekuja night club na demu wako ,kama mnavyosema🤔
Sasa umetua viwanja ukakutana na wanyamwezi wa viwanja , hako ka demu kako kakashoboka kwa mnyama mbele yako ,acha kutia hasira na kuvimbia misuli ya kipumbavu.
Utapigwa bastola ya tako ,halafu mpaka mama yako ajulishwe una tatizo, utakuta ushajifia.
Jifunze kubalance shobo, gademitt.