Kile ni noma aseeInategemea unakatumiaje😀
Kuna jamaa akishatumia keupe tu ni ugomvi muda wote kila pisi anaitaka yeyeUkiwa mlevevu kinakulegeza😂
Leo ni MONEY DAY na wala sio Blue MondayMuda wa bata una tabia ya kukimbia sana🔥❗🙆🏿♂, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapa😭.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!😂 🙆🏿♂️❗🔥View attachment 3674561
Nataman nirudi tena km jana 🤣Siku ngumu sana leo🤣
Eeeeh babanguuuu
Kila Jumatatu huwa inakuja na Hoja tatu:Muda wa bata una tabia ya kukimbia sana🔥❗🙆🏿♂, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapa😭.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!😂 🙆🏿♂️❗🔥View attachment 3674561