KAMANDA HANGA
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 158
- 58
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
..Kesho na mimi natafuta hata ya kuchonga tu naiweka hapo naenda nayo Leaders' Club au Club yoyote ile, nione kitatokea nini.
Kabla ya kumshambulia Rage tungepaswa kwanza kufahamu sheria za umuliki wa silaha hapa Tanzania. Kwa mfano:Tukishazijua sheria za umiliki wa silaha tutakuwa na uwezo mzuri sana wa kuchangia hii mada. Naomba wataalm wa sheria watujuze zaidi.
- Je mtu anaruhusiwa kutembea na silaha anayoimiliki kihalali?
- Je ni makosa kuonesha silaha unayoimiliki kihalali hadharani?
As for me, sizijui hizo sheria ndio maana siwezi kusema kama Rage ana makosa au hapana.
mkuu huyu achana naye ni jamaa mmoja anaitwa mwita ameamua kuwa mshenzi . Yupo hapa jamvini kitambo kidogo, Alipigwa Ban akaja na ID nyingine akapigwa Ban tena ndio kaja kihivi.Laiti wakati wa kujiunga JF kungekuwa na usaili wengi tungewekwa kando!
jamani tunaomba picha basi mkuu
hawa ndio waleta fujo
ila kuna siku tutawakomesha
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
leo wanapanda majukwaani, baadae watumia mitutu ya bunduki ili waingie madarakani