Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
..
naomba tuwe wote siku hiyoo
Weka picha mkuu, sio wote tuna access na magazeti
Nadhani haileti picha nzuri sana wakati huu kutembea na cha moto hadharani namna hiyo. Tumezoea kuwaona polisi wakiwa na zana hizo kwao ni zana za kazi, najiuliza ingekuwa ni ofisini bosi wako anaingia na bastola kiunoni hata kama anaimiliki ingekuwa taharuki. Naamini wengi wanazao lakini zinawekwa sirini, sasa hapo Mh. Rage anatuonyesha ubabe, si kiashiria kizuri.
tuelewane kitu ki1..je kosa la rage ni nn..kutembea nayo au kuionyesha..?
Anaweza kuwa member wa Al shabab huyo
Watu tuna hivi vitu, itakuwa hicho kijiko cha chai???!!!
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..

Watu kama wewe wavivu wa kufikili hamtakiwi kuwepo hapa jamvini unashindwaje kutambua wajibu wakulinda raia na mali zao ni polisi kuwa na sharp brain bana kama huwezi hamia facebook.Wanajihami bwana , Kama watu wanamwagiwa tindikali na wengine kuchomewa nyumba ni lazima kujihami manake muda wowote unaweza kuvamiwa hata jukwaani si unajua tena kauli mbiu ya HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE