Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni.
Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo?
CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..