acha upapasi . unadanganya watu live . aliyepiga risasi ni mtu mwingine kabisa . usikurupuke tu.
Hivi kupelekwa makao makuu ya polisi ni adhabu?? How? Au hamna dili? nielewesheni.
Ushahidi wa amri ya kuua uko wapi?
yAANI KILA NIKISOMA HII THREAD NAPATA KIZUNGUZUNGU... HIVI KWELI ORDER YA KUPIGA RISASI IANWEZA KUTOLEWA KIRAHISI EH?
EVIDENCE EVIDENCE EVIDENCE EVIDENCE EVIDENCE what a fuc.....................????????????????????????????If he is real the thread OWNER, and what he says is true.... that he DID it in favor of poor Arusha citizen.... WHY NOT GOIN' to the PRESS?????????????????????????????
and IF NOT (the owner) we need EVIDENCE instead of being treated like lillte kids AND comment on this CRAP LIKE GOSSIP THREAD...
I wont be like YOU taking , things like this TOO SHALLOW.... am sure your thinking capacity, is as lower as the THREAD owne IF and ONLY IF he hasnt comply with the above
Wapo binaadamu wenye ujasiri huu ............ lakini KAMA HUTULETEI USHAHIDI WA MAANA HAPA KUHUSU HAYO (kwenye red) mi sitakutofautisha SAAANA NA MAKAMBA na CHILIGATI ..... maana nao HUROPOKA KAMA WEWE...
EVIDENCE PLEASE , maana unazungumza maneno yenye UZITO, so usije UKAWA WEWE ndo BASILO MTEI mwenyewe hapa unataka UJENGE HESHIMA.
EVIDENCE au TUTOLEE UPUUZI WAKO HAPA
Mkuu Kichakoro nikweli kabisa ulicho kisema hasa hapo kwenye nyekundu..Bangusilo Matei.
Kwa habari za uhakika zinasema alipewa amri na mkuu wake aue walau watu 5 wakati wanachi walipokuwa wamekusanyika njee ya jengo la halmashauri ni jiji. Akakubali amri lakini hakuitekeleza kwa kusema yeye ni mcha mungu na Arusha itaendelea kuwepo hata baada ya uchaguzi.
Alichokifanya mkuu huyu ni kumshinikiza mkuu wa Tume (mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo laArusha)kutangaza matokeo kabla ya saa 12 jioni la sivyo ataondoa vijana wake kwenye eneo hilo kwa watu ni wengi na hawana uwezo wa kulinda usalama kwa jiji la Arusha itakapotimu usiku.
Nasikia kwa kosa la kukataa AMRI (isiyo halali) kapelekwa benchi makau makuu kwa kosa la utovu wa nidhamu
If he is real the thread OWNER, and what he says is true.... that he DID it in favor of poor Arusha citizen.... WHY NOT GOIN' to the PRESS?????????????????????????????
and IF NOT (the owner) we need EVIDENCE instead of being treated like lillte kids AND comment on this CRAP LIKE GOSSIP THREAD...
I wont be like YOU taking , things like this TOO SHALLOW.... am sure your thinking capacity, is as lower as the THREAD owne IF and ONLY IF he hasnt comply with the above
Acheni ujinga, siyo kila kitu kina ushahidi wa mazingira, maandishi au picha, hii siyo mahakama. Huenda amri iliyotolewa ni ya mdomo (matamshi) tu. Labda ukamuulize Basilio mwenyewe!
Mimi namsifu afande kwa kuheshimu maadili ya kazi yake na kumheshimu Mungu pia, siijui dini/imani ya kamanda Basilio lakini inaonekana hawezi kuuwa binadamu asiye kuwa na kosa kwa utashi wa mtu mwingine. Aliyetoa amri ya kuua 5 kwa sababu ya kumuokoa mbunge wake kwa sababu wana toka dini moja, nadhani hapa kuna haja ya kuwa na mashaka na imani au dini zao kama msingi wake ni amani!
EL pamoja na ufisadi wake lakini imani/dini yake ali-iheshimu sana aka-amua kutumia njia mbadala, badala ya kuua watu live, aliona bora atumie mlungula, alikuwa tayari apoteze hata 800 millioni kwani atazitafuta zingine kifisadi fisadi.
Basilio wala asijali kwani kuna maisha hata akivuliwa unjagu, kwani siku hazigandi 2015 CDM watakurudisha kazini kwa record yako ya kuzingatia maadili ya kazi yako siyo utashi wa mtu.