Basic needs!

Basic needs!

Ngono ni basic needs toka mwaka ganii!!!??
 
Acha kungonoka basi uone, kama hatujakukuta unaogesha laptop bafuni.

Bila hiyo unazani tutazalianaje? Si tutaisha?

There is a very big difference between Physiological needs and Basic needs, uko nje ya mada mkuu.
 
jaribu kuanzia mwaka huu usitiane uone utakavyo wehuka!

Nna mudaaa mrefu na sijawehukaa nnaweza hata nikakaa milele bila kufanyaa sio lazimaa lakin nisipopata chakula ntakufa lakin unaweza ishi bila ngono na hufiii
 
Nna mudaaa mrefu na sijawehukaa nnaweza hata nikakaa milele bila kufanyaa sio lazimaa lakin nisipopata chakula ntakufa lakin unaweza ishi bila ngono na hufiii

sababu hujatiwa vizuri ndio maana haijawa need ...patamtu akutie barabara kama hujageuka teja wa kutianal
 
Njoo sure herbal clinic sinza tukusaidie ukikaa muda hivyo na unajiona normal unamatatizo dada zetu tunashirikiana na watafitiwa muhimbili hospital maelezo zaidi piga 0715100100
 
Njoo sure herbal clinic sinza tukusaidie ukikaa muda hivyo na unajiona normal unamatatizo dada zetu tunashirikiana na watafitiwa muhimbili hospital maelezo zaidi piga 0715100100

ujumbe umfikie Dinazarde.
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo na wale wenye wito je? Unataka kusema wanachakachua?
 
Mapenzi ni basic needs kwa wanaojua utamu wake,Kwa wasiojua ni sawa na kichaa asivyoona umuhimu wa mavazi
 
basi watoto wote na mabikra wangekuwa wameisha au mataira hivi, hizi division five zinawaza ngono tu
 
Back
Top Bottom