ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
Na watoto wana sex?
tumuulize anasema eti maslow hierachy utupe source mambo ya kudanganyana hapana
Na watoto wana sex?
SEX?????? hapana hiyo ya kwako
Ukikosa mapenzi waweza kufa kweli??
Ipo tu kwasababu ni nature na ni lazima iwe hivyo ila sidhani kama ni muhimu as chakula ( kwa mawazo yangu)
Mmmmh...Huu utafiti wako nnashaka nao hasa hapo sex, na under 18 je!! Inakuaje.Food,clothes,shelter and SEX. ukikosa moja kati ya haya unaweza ukaathira kiakili na kimwili..
waliongezea SEX as a basic need hawakukosea yani kukosa hii kitu ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili.
There is a very big difference between Physiological needs and Basic needs, uko nje ya mada mkuu.
Food,clothes,shelter and SEX. ukikosa moja kati ya haya unaweza ukaathira kiakili na kimwili..
waliongezea SEX as a basic need hawakukosea yani kukosa hii kitu ni hatari sana kwa afya ya mwili na akili.
Ukikosa nguo au malazi waweza ishi pia lakini ni miongoni mwa basic needs,hoja hii ni ya kweli ukiitizama kwa mtazamo mpaka!
Aisee
Sociology or psychology?
Haya ndo majibu yenye facts,thanks...ila bado sikubaliani...SEX???? HAPANA
Anajichanganya huyu kweny hiyo Maslow theory ni psychology na sii basic need atueleze tuelewa
basic needs zinapatikana immediately baada ya mtoto kuzaliwa.
comment about sex..
Mmmmh mapenz nayo basic needs??? Since lini
Msome Maslow,nenda google,kwa waliosoma education hili si jipya