Basi nikiss nichum.. Mwa!

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,513
11,276
Akina dada, akina mama, akina Bibi na wengineo wote wenye jinsia -Ke- Hii ni dedication yangu kwenu na fursa ya Kum-Kiss na Kum-Chum yeyote umpendaye..

Akina baba, akina kaka, Machalii na Ma-arifu,, pia mnaweza kutumia fursa hii kuwa-Chum na Kuwa-Kiss Sukari zenu za roho..

BTW: Any Kiss to TANMO (of coz from a lady) will be appreciated..




Mapendo.
TANMO
 
Last edited by a moderator:
mwaaah! Kwangu mwenyewe...then mwaaaah! Mwaah! Mwaaah! Kwa mtakaoikubali iwafkie mlipo na itue sehem utayopenda itue.
 
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Wakuu, Wana-Mapendo wenzangu,,
pia itapendeza zaidi ukimtaja mlengwa wa Hayo Ma-Chum na Ma-Kiss,
 
TANMO ... I loved the Video ... Na jinsi ambavyo tangazo la kulinda watoto halikufanya kazi especially kwa watoto wenyewe, of course they took their time!! Mwwwaaaah to the love of the KIDS!!!!!!!!!!!!!!!!!... afrodenzi i told you to take care of the kind and now .... loookk mtoto yuko wapi?Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom