Basi nikiss nichum.. Mwa!

akina dada, akina mama, akina bibi na wengineo wote wenye jinsia -ke- hii ni dedication yangu kwenu na fursa ya kum-kiss na kum-chum yeyote umpendaye..

akina baba, akina kaka, machalii na ma-arifu,, pia mnaweza kutumia fursa hii kuwa-chum na kuwa-kiss sukari zenu za roho..

btw: Any kiss to tanmo (of coz from a lady) will be appreciated..


mapendo.
tanmo

Tanmo umepata bingo nini? naona full furaha. Ok nitachagua nina wazimia lakini msionee wivu.
 
Back
Top Bottom