wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,211
💈Madereva hawajali roho za watu. Abiria hatuwezi kutoa maelekezo kwa dereva. Unapanda basi kama unaenda machinjion.
inaonekana abiria wameponaBaada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Chanzo kikuu ni rushwa wakuu wa usalama barabarani wako kwenye payroll ya mchina hivyo madereva hawajaliBaada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Ukiona ajali 6 ndani ya siku 21 kwa kampuni moja basi ujue sio bure na hivyo muda wa kampuni kuwepo umekwisha katika ulimwengu wa roho.Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Endeleeni kupanda Mabasi ya hiyo kampuni mtakapokatwa vichwa ndio mtaelewa..Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Mungu atuponye, na atuepushe na madereva wazembe.Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuyu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Yeah sahihi kabisa. Bahati mbaya sana wametufuata hata kwenye muda wetu wa saa tisa usiku.Kilasiku nasisitiza madereva wenzangu wa private cars wasifanye Safari zao muda wa asubuhi yaani kuanzia saa 12 kwasababu muda huu ni hatari sana Kwa mabus ya mkoani.
Kibaha-morogoro ni eneo hatari sana tuwe makini
Kilasiku nasisitiza madereva wenzangu wa private cars wasifanye Safari zao muda wa asubuhi yaani kuanzia saa 12 kwasababu muda huu ni hatari sana Kwa mabus ya mkoani.