Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Nadhani hawa UDART wapo juu ya sheria kwa kua hili la kuua si mara ya kwanza ya pili ama ya tatu
Walimgonga mdogo wangu,yaani aliamua kumfuata makusudi ,akamgonga then akarufisha nyuma akaondoka,mdogo angu alikuwa na bike
 
Walimgonga mdogo wangu,yaani aliamua kumfuata makusudi ,akamgonga then akarufisha nyuma akaondoka,mdogo angu alikuwa na bike
Hatukuchukua hatua SBB dogo aliingia kwenye road yao
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
"FICHA UPUMBAVU WAKO, USIFICHE HEKIMA YAKO" Na: Invisible
 
Walimgonga mdogo wangu,yaani aliamua kumfuata makusudi ,akamgonga then akarufisha nyuma akaondoka,mdogo angu alikuwa na bike
Unajua tatizo ni nini? Madereva raia wengi wamepigwa chini sikuhizi kwaiyo asilimia 70 ya madereva wapya ni wanajeshi. Unajua mwanajeshi akitoka kulinda amani alafu umpe kazi ya uraiani kuna kipindi anapata taswira ya vitavita anaweza akajisahau akaona mvukaji kama vile askari wa janjaweed akamfuata makusudi amgonge. Hili ni tatizo kubwa sana kuna hata kufuatilia kwa kina hapa
 
Basi la mwendokasi jana limegonga raia kwenye zebra Kimara baruti jana majira ya saaa 3.

Kilicho tokea magari yote toka Kimara yalisimama kupisha raia wapite kwenye zebra ila basi la mwendokasi kikapita kwa spidi kali na kugonga kijana mmoja mkazi wa baruti.. Baada ya kugongwa akadondoka na kukanywagwa kwenye kichwa na tairi la nyuma kiasi cha kusagika kuanzia shingoni hadi kichwani.


Cha ajabu hakuna mchango wowote uliotolewa na UDART kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda makambako nyumbani kwa Kijana huyu.

Huu ni uzembe wa hali ya juu na sheria ipo wazi juu ya haki za watembea kwa miguu kwenye zebra.


Ajabu nyingine hakuna hata chombo cha habari kilicho report kwa ufasaha tukio hili la kinyama.

Tunakemea tabia iliyo zuka sasa ya mwendokasi kuto jali alama za barabarani.

Wakati usafiri huu unaanza madereva wa mwwndokasi walikua ndio madereva pekee ambao wanafuata alama za barabarani.. cha ajabu sasa hivi wanawapigia honi raia wasipite kwenye zebra.

Tunaomba polisi muwaonye madereva wa mwendokasi na kuwachukulia hatua kama madereva wengine.

Tukio hili limeleta huzuni sana kwa wananchi wote wa maeneo yanayopitiwa na usafiri wa mwendokasi kwa kuwa unaleta sifofahamu juu ya maisha yao hasa wanapohitaji kuvuka barabara.
Halafu wananchi wakichukua hatua kuchoma moto, tunawalaumu, hawa mbwa wa Mwendokasi hawana utu hata kidogo madereva wake,,
 
Hahaha mbona povu mkuu
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
 
Aliyegongwa ni mfanyakazi wa Jiji ambaye alikuwa na wenzake wanakamata malori yanayoegesha hovyo. Kwao sio Makambako ni Songea na msiba upo Tandika alikokuwa amepanga, hana ndugu mjini hapa ndo wafanyakazi na ofisi inafanya utaratibu
 
Unajua tatizo ni nini? Madereva raia wengi wamepigwa chini sikuhizi kwaiyo asilimia 70 ya madereva wapya ni wanajeshi. Unajua mwanajeshi akitoka kulinda amani alafu umpe kazi ya uraiani kuna kipindi anapata taswira ya vitavita anaweza akajisahau akaona mvukaji kama vile askari wa janjaweed akamfuata makusudi amgonge. Hili ni tatizo kubwa sana kuna hata kufuatilia kwa kina hapa
Kweli mkuu madereva wengi saivi ni wanajeshi ndomana wamepiga kimya
 
Ikumbukwe huyo kijana alikuwa anavuka kwa kusukuma toyo yake pale zebra sabb asingeweza kupanda kama sheria zinavyotaka .huyo dereva akamrusha na toyo lake akapoteza maishaa.sheria ufuate mkondo uhai wa mtu haununuliwi
 
Kweli mkuu madereva wengi saivi ni wanajeshi ndomana wamepiga kimya
Mbona baada ya kugonga raia hiyo jana dereva alikimbia akajichanganya na raia kwa kuogopa kipigo.

Binafsi nafikiri kama hiyo ni kweli serikali itaonekana haioni dhamani ya raia kama ilivyo kwenye siasa za sasa kwamba kada akiua basi ni haki yake ila kada akiuawa basi waliua ni wapinzani wa serikali.

Raia tuna amini serikali ipo madarakani kulinda haki zetu ikiwa ni pamoja na kusimamia sheria zinazo tulinda.

Hakuna raia ailiye juu ya sheria hata Rais anaheahimu sheria kwa sababu zinamhusu.

Nauhakika hili jambo hata waziri wa mambo ya ndani hajui lakini angefariki raia huyi huyu kwa kulipuliwa na alishababu pale Hilton Hotel nauhakika waziri wa mambo ya ndani angetia timu ndani ya dk 10..

Damu ya raia sio maji ya mto hata iachwe itiririke barabarani.
 
Kweli kabisa.. inatia mashaka ukizingatia watoto.pia wanavuka barabara
Huwa hawajali. Mabasi yao yakiwa yanakuja halafu kuna raia wanavuka kwenye zebra wao wanakuja na mwendo uleule tu. Kupunguza sahau.
 
Back
Top Bottom