Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,128
Apumzike kwa Amani
Mbona kimara baruti hakuna daraja la juu
Unapajua Kimara Baruti?Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Wapumbavu sana hawa madere wa mwensokasiHata miye nilishangazwa na mabasi ya mwendokasi BRT jijini Dar es Salaam Tanzania kutokutii bila shuruti sheria ya usalama barabarani kwenye alama za pundamilia / Zebra crossing ili wale wenda-kwa-miguu wavuke salama.
Video hii hapa chini inaonesha hali hiyo ya mabasi ya BRT kutofuata sheria za usalama barabarani wakati vyombo vya moto /magari mengine yote yanasimama kupisha watu wavuke kwa miguu
Ushaidi mzuri sana huuHata miye nilishangazwa na mabasi ya mwendokasi BRT jijini Dar es Salaam Tanzania kutokutii bila shuruti sheria ya usalama barabarani kwenye alama za pundamilia / Zebra crossing ili wale wenda-kwa-miguu wavuke salama.
Video hii hapa chini inaonesha hali hiyo ya mabasi ya BRT kutofuata sheria za usalama barabarani wakati vyombo vya moto /magari mengine yote yanasimama kupisha watu wavuke kwa miguu
Ushaidi mzuri sana huu
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Asante kwa taarifa yenye mtiririko wa kupendeza. Ila jina lako lingekua taputapu lingeendana vizuri na sura yako ili ukiwa na shoga yako tutawaiteni MATAPUTAPUBasi la mwendokasi jana limegonga raia kwenye zebra Kimara baruti jana majira ya saaa 3.
Kilicho tokea magari yote toka Kimara yalisimama kupisha raia wapite kwenye zebra ila basi la mwendokasi kikapita kwa spidi kali na kugonga kijana mmoja mkazi wa baruti.. Baada ya kugongwa akadondoka na kukanywagwa kwenye kichwa na tairi la nyuma kiasi cha kusagika kuanzia shingoni hadi kichwani.
Cha ajabu hakuna mchango wowote uliotolewa na UDART kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda makambako nyumbani kwa Kijana huyu.
Huu ni uzembe wa hali ya juu na sheria ipo wazi juu ya haki za watembea kwa miguu kwenye zebra.
Ajabu nyingine hakuna hata chombo cha habari kilicho report kwa ufasaha tukio hili la kinyama.
Tunakemea tabia iliyo zuka sasa ya mwendokasi kuto jali alama za barabarani.
Wakati usafiri huu unaanza madereva wa mwwndokasi walikua ndio madereva pekee ambao wanafuata alama za barabarani.. cha ajabu sasa hivi wanawapigia honi raia wasipite kwenye zebra.
Tunaomba polisi muwaonye madereva wa mwendokasi na kuwachukulia hatua kama madereva wengine.
Tukio hili limeleta huzuni sana kwa wananchi wote wa maeneo yanayopitiwa na usafiri wa mwendokasi kwa kuwa unaleta sifofahamu juu ya maisha yao hasa wanapohitaji kuvuka barabara.
Japo umetumia lugha kali lakini ni kweli kuna uzembe mkubwa uliochanganyika na kiburi kwa watembea kwa miguu. Yaani yanataka kulala barabarani kabisa. Hii inaudhi na ni dalili ya roho mbaya dhidivya waendesha magari
Asante kwa taarifa yenye mtiririko wa kupendeza. Ila jina lako lingekua taputapu lingeendana vizuri na sura yako ili ukiwa na shoga yako tutawaiteni MATAPUTAPU
Inaumaa sana.. nimeulizia kuhusu huyu kijana wanasema alikua ni kijana anayejibidisha kutafuta riziki ya watoto wake wawili na mke wake.Familia wawafungulie kesi UDART walipwe fidia.
We mwanamke kumbe huna akili eeeh. Kuhongwa passo juzijuzi na muuza mitumba wa Manzese leo unasema tunalala kwenye zebra. Kweli?Japo umetumia lugha kali lakini ni kweli kuna uzembe mkubwa uliochanganyika na kiburi kwa watembea kwa miguu. Yaani yanataka kulala barabarani kabisa. Hii inaudhi na ni dalili ya roho mbaya dhidivya waendesha magari
Wasaidie kutafuta wanasheria wafunguliwe kesi familia ipate fidia.Inaumaa sana.. nimeulizia kuhusu huyu kijana wanasema alikua ni kijana anayejibidisha kutafuta riziki ya watoto wake wawili na mke wake.
Amekuja hapa mjini toka makambako na ssa bila kutegemea kwa uzembe wa mjinga mmoja anayejiona yupo juu ya sheria ndoto ya familia imekatishwa.
Asante mtoto mzuri. Halafu nakuona huna presha wala jazba kama waziri kalamaganda aka JenguaKipi kibaya kimeripotiwa hapa hadi uniite taputapu? Pamoja na kwamba pengine nimegusa maslahi yako lakini bado tunawajibu wa kutetea haki za raia wenzetu
Leo yeye kesho wewe..