Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

Diva, uendeshaji wa magari madogo katika mji huu unajulikana, sio jambo la kudiscuss hapa..
Madereva wengi hawafuati sheria, wengi wana haraka, wengi wana papala, wengi wana kiburi..."""hapa naziwahi hizi taa ngoja ninyooshe mguu"""
Faini kali lazima zitumike kuogopesha wahuni, maana hakuna namna ....
juzi tu prado imeikwangua rangi mwendokasi, yenyewe imetoka inamiminika huko hata haijali mataa ikakutana na bajaji, ghafla ikaenda hewani kurudi chini mwendokasi hii hapa, sijasimuliwa nilishuhudia kwa macho,
kiukweli magari binafsi nayo yana matatizo kwenye uendeshaji wake.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Sijaona magari ya mwendo kasi yakigongana zaidi ni magari binafsi kila siku yanagongana na mabasi haya [emoji848]
 
Swala sio semina kwa mwendokasi bali viburi kwa madereva wa magari mwingine kutumia barabara ya magari ya mwendokasi wakati ilishakatazwa. Yani watz sijui tuna akili gani
Hilo ndio suala watun wanangangania njia ya mabasi yadnayo haraka. Ubishi tu shida sana. Nami naona kama hamna enforcement yua kutosha kwa kweli kuachak kutumia njia hizi yaani watu wanabembelezwa!
 
Mleta mada hivi umeona jinsi tuta linalogawa barabara za Dart lilivyo kubwa na na jinsi mabasi yalivyo chini ulitegemea bamba lisichanike kweli?aisee dereva anastahili pongezi pa sivyo angeligonga hiyo vits sijui ungesemaje kuhusu hiyo ajali kama ni mbaya ama la.siku ya leo hakuna foleni wewe unaingiza kigari chako sehemu usiyotakiwa kisha unasema hukupewa semina elekezi aisee lazima ugongwe tu kwa maana hakuna namna!
 
Watumiaji wa vyombo vya usafiri wanaogongana na hayo mabasi ni vichaa
Kuna sheria moja tu :
Usitumie barabara ya mwendo kasi,
Ila wao wameshindwa [emoji23][emoji23]
Sasa huyu utanfanyaje kama wewe ndio mtoa adhabu
ImageUploadedByJamiiForums1464535576.462547.jpg
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Poleni sana wadanganyika. Mimi nilitegemea Magufuli ataipiga nyundo hiyo barabara na kujijenga barabara kubwa yaani 5 lanes kulekea mbezi na 5 lanes kurudi mjini na kutafuta namna ya kujenga flyover pale Fire,magomeni,mabibo(mahakama ya ndizi) ubungo bus terminal na ubungo mataa na si kuendelea na huo upuuzi
Du pole mdanganyika wewe kila kitu kipya kinapoingia katika jamii lazima kiwe na mambo yake mapya yanayoleta ugunduzi mpya. hakuna mfumo mpya wowote unaokuja bila kuwa na mitihani yake au mapungufu
 
Haya mabasi Kama yako 300 mpaka mwakani Juni yatabaki pengine 70-50, kwa elimu hii ambayo Nchi hii watu wamesomeshwa.
Nilikua najiuliza sana sababu ya kuwekwa vikuta vikubwa Kama hivi pembeni mwa hizi barabara, badala ya waweke michoro tuu Kama kwa wenzetu. Sasa napata jibu.
 
mwenye vitz anatakiwa kulipa... bila kupepesa macho
Mkuu mwenye vitz yupo katika upande wake,hapo gar ya UDART ndo imeifuata hiyo VITZ na cha ajabu vitz yaonekana ni nzima ila hilo basi limeharibika hivyo,napata wasiwasi na ubora wa hayo magari sasa,maana ukisikia hata Engine zake mlio kama haueleweki hivi,sasa leo bodi ya gari imechanika hivyo si ni hatari
 
dereva wa gari ndogo ana kiherehere, kipi kimemfanya aingie katika barabara ya mwendokasi wakati ni kosa kisheria, huyu anapaswa kupewa adhabu ya kununua gari jipya la mwendokasi kufidia hilo alilolisababishia ajali
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] . Ili ashike adabu.
 
Tatizo sio mwendokasi tatizo ni hawa madereva viburi hivi inakuaje unaingia kwenye barabara ya mwendo kasi, dereva wa gari dogo ndio ameliginga udart
Nadhani jamaa wa mwendokasi amemugongea vitz kwenye mataa wakati akikatiza kwenda upande wapili.
 
Mkuu mwenye vitz yupo katika upande wake,hapo gar ya UDART ndo imeifuata hiyo VITZ na cha ajabu vitz yaonekana ni nzima ila hilo basi limeharibika hivyo,napata wasiwasi na ubora wa hayo magari sasa,maana ukisikia hata Engine zake mlio kama haueleweki hivi,sasa leo bodi ya gari imechanika hivyo si ni hatari
Hahahaa kwanza nataman kujua unaishi mkoa gani kabla cjaanza kui tathimini vzur hii comment yako.. Ushabiki huu utatupeleka pabaya wallah
 
Mkuu unapotoa hoja uwe unaeleza na chanzo cha ajali ndipo tutakuelewa? Gari kuharibika sana haimaanishi kwamba ni box, bali hiyo impact ilikuwa na nguvu kiasi gani na pia gari imegongwa eneo lipi. Kuhusu upana wa barabara sijui unahoji kwa kigezo kipi maana hayo magari yanatosha kabisa kupita kwenye huo upana sasa sijui wewe unataka upana mkubwa wa kazi gani.
Yaaani mtu anaandika hoja cijui kalewa au l?namuuliza swali yeye alitaka hizo barabara ziwe na upana gan???mbili hv hizo barabara tano kwenda tano kurudi nyumba za watu wagapi wataachwa bila makazi???
 
Haya mabasi Kama yako 300 mpaka mwakani Juni yatabaki pengine 70-50, kwa elimu hii ambayo Nchi hii watu wamesomeshwa.
Nilikua najiuliza sana sababu ya kuwekwa vikuta vikubwa Kama hivi pembeni mwa hizi barabara, badala ya waweke michoro tuu Kama kwa wenzetu. Sasa napata jibu.
Angalia barabara ya.morocco.mwenge utapata jibu.. haaa.. yamewekwa.mawe lakini.wapi
 
Mkuu mwenye vitz yupo katika upande wake,hapo gar ya UDART ndo imeifuata hiyo VITZ na cha ajabu vitz yaonekana ni nzima ila hilo basi limeharibika hivyo,napata wasiwasi na ubora wa hayo magari sasa,maana ukisikia hata Engine zake mlio kama haueleweki hivi,sasa leo bodi ya gari imechanika hivyo si ni hatari
acha kupotosha.. mwenye vitz amshukuru dereva wa dart ambaye.amekwepa.kumnusuru
 
Back
Top Bottom