Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

Basi la mwendokasi lapata ajali mbaya Magomeni Usalama

Ila kuhusu kuchanikachanika apo asee nakuunga mkono, haya magari ni makubwa jinga yani kubwa vile linaumizwa na kavits
 
Ila kuhusu kuchanikachanika apo asee nakuunga mkono, haya magari ni makubwa jinga yani kubwa vile linaumizwa na kavits
Ni kweli Gari linachanikaje kama karatasi kuna kitu kinaitwa Crump zone kwenye magari lazima angalau libonyee ili kupunguza impact sasa haya ya kuchanika siku likipinduka utakuta hat amfupa wa mtu kweli?
 
Madereva wengi wa magari madogo hawajui sheria ndo chanzo cha leo japo mataa yalikua hayafanyi kazi lakini toka lini utafanya u_turn eneo kama lile??? Pale dereva wa brt alijitahidi kumkwepa ili kupungua athari ndo maana brt imegongwa ubavuni.
Suala la upanawa barabara sio chanzo cha ajali ni tatizo la kutokufuata sheria na kutokujua hasa kwa madereva wa magari private kutokana na wengi wao kutopitia mafunzo ya udereva na sheria za barabarani
Changamoto zipo nyingi sana mwanzoni mwa mradi huu ila sio kuanza kutoa lawama zisizo na maana mkuu
 
Mkuu unapotoa hoja uwe unaeleza na chanzo cha ajali ndipo tutakuelewa? Gari kuharibika sana haimaanishi kwamba ni box, bali hiyo impact ilikuwa na nguvu kiasi gani na pia gari imegongwa eneo lipi. Kuhusu upana wa barabara sijui unahoji kwa kigezo kipi maana hayo magari yanatosha kabisa kupita kwenye huo upana sasa sijui wewe unataka upana mkubwa wa kazi gani.
 
mkuu Maboso hapa tunahoji ubora wa magari hayo ,,,,, barabara za magari haya na upana wake... changamoto za mwanzo ni pamoja na kujadili miundo mbinu ya mradi na si madreva tu
 
Kuna mbwa mmoja anaendesha haya mabasi kidogo anitoe roho
Taa zimezima ila alikuja speed sana na kama si Mungu ningekuwa kwenye historia ya kuuawa na hayo madude
Watafute madereva wapya hawa wa daladala bangi sana
 
Mkuu unapotoa hoja uwe unaeleza na chanzo cha ajali ndipo tutakuelewa? Gari kuharibika sana haimaanishi kwamba ni box, bali hiyo impact ilikuwa na nguvu kiasi gani na pia gari imegongwa eneo lipi. Kuhusu upana wa barabara sijui unahoji kwa kigezo kipi maana hayo magari yanatosha kabisa kupita kwenye huo upana sasa sijui wewe unataka upana mkubwa wa kazi gani.
Kaka umewekewa hadi clip bado tu?
 
Dereva wa gari ndogo kama anahusika basi apatiwe adhabu inayomstahili.
 
Mwenye makosa ni mwenye gari dogo, ameingiaje kwenye njia ya Dart.

Tatizo la madereva wengi bongo wajuaji sana. tunapenda wiziwizi sana. kupita bila kuruhusiwa, kuchomekea

Tena ashukuru dereva wa dart amekwepesha gari.

Kutokana na agizo la waziri mkuu alilo toa jana, hapo lazima atapata adhabu kubwa sana
 
Back
Top Bottom