Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,763
Hii nchi naishangaa sana yani wanawekeza kwenye mabasi ya kasi wakati kuna sehemu hata barabara(achilia mbali lami) hamna!!!
Nyie kweli ni wehu..we kwa akili yako unafkiri nani mwenye kosa.Dah... kama waliwachukua ex- daladala drivers wanategemea nini? hawakusoma yaliyowapata UDA? Hawa jamaa wameisha komaa hawakunjiki tena. Ningekuwa mimi kwasababu ni mradi mpya wenye mambo mapya basi ningewaajiri madereva wengi kutoka mkoa na sifa ya kukosa kazi ni kuwa uliwahi kuwa dereva wa daladala katika miji mikubwa.🙂
Mwenyew nashangaa wanawatupia lawama wa mwendo kasi akat wanaona gari dogo ndo limefata basi kwenye njia yake.Nyie kweli ni wehu..we kwa akili yako unafkiri nani mwenye kosa.
Tanzania bado ina kazi kubwa sana.
Kichwa maji hizo ni bara bara maalum za mabasi yaendayo haraka kilicho mpeleka huko ni nini?Kwa sheria ipi?
mwenye vitz anatakiwa kulipa... bila kupepesa macho
More than 97% ya madereva dar hawafati sheria na alama barabarani sijui kwanini wako very rough mabasi ya udart yatachakaa yote ka ya uda tu madereva hawana nayo uchunguNikweli baadhi ya madereva sio coz %kubwa wamechukuliwa kutoka kuendesha maDALADALA...hata Mkurugenzi wao alilalamika Jana..lkn pia wanadarisalama wengi...wanaishi kwa mazoea hawaheshimu Sheria za barabarani...
Achana nao hao washenziWaTz tubadilike ! Barabara ni zao na wana muda maalumu wa safari ! Mbina speed ya train huwa hamuijadili !
Nadhani hata madereva wa haya mabasi wana tatizo mbona wa daladala hawagongani hovyo ka wao wawe makini Mara waue RAIA kwa kisingizio cha njia maalumu
Chanzo cha ajali ya leo Ni kutofanya kazi kwa taa kwenye U-turn, hivyo dereva wa vitz akatumia uzoefu wa mjini wa mwenye kuwahi apite, duuuuh!, mwendokasi kumbe hawana fair play panapotokea hitilafu ya taa!. Sasa sijui kwa hapo sheria zinambeba nani!. NawasilishaMwenyew nashangaa wanawatupia lawama wa mwendo kasi akat wanaona gari dogo ndo limefata basi kwenye njia yake.
Na hizi ajali hazitoisha jana nimetafuta u torn kudadeki kuanzia Kinondoni nimekuja kuipata magomeni baada ya kuingia mtaani kugeuza kurudi tena barabarani watu watakubali wapi Sehemu nyingi zenye junction hakuna taa inayo ruhusu upite upande mwengine labda uwe upande huo huo ukate kona mfano mzuri Magomeni
DIT Junction ya Bibi Titi na Morogoro
Ila kuhusu kuchanikachanika apo asee nakuunga mkono, haya magari ni makubwa jinga yani kubwa vile linaumizwa na kavits