Wewe kweli jinga lao yaani badala ya kuaoka unataka uwe wa kwanza kuleta mada jf.Nimeshindwa kupiga picha
Wewe kweli jinga lao yaani badala ya kuaoka unataka uwe wa kwanza kuleta mada jf.Nimeshindwa kupiga picha
Huu mradi waupeleke mikoani, dar na ustaraabu wapi na wapi.Aise hivi nyie watu wa Dar mnaishije lakini.
Yaani ikija fly overs si ndio mtaunga mabondeni kila siku?
Dara la Kutoka Dar mpaka Zanzibar si ndio wote mtazamana kwenye maji?
Daraja la Kigamboni washamba nyie,Mradi Huu wa Mabasi washamba nyie,aiseeee
Uwanja wa taita mazuzu mkawa nyie kuuharibu kwa kukojolea kwenye machupa na kunya juu ya vyoo.
Kukojolea wanawake kwenye Magari ya Mwendo kasi nyie nyie,hahahaha
Kwa watu wanaotoka Mkoa wa Kilimanjaro kuishi Dar hawapati Tabu,maanaa ustaarabu wa mji wao wa Moshi wanaujua,ila hawa wengine ni Majanga ya Jiji.
Watu mnaishi kwa mazoea na kuendesha magari kwa mazoea ili na nyie muonekane mnamagari na wajanja wa mji kumbe full washamba.
Nipo napita hapa usalama ndani ya UDART, kuna basi limepata ajali mbaya na limeharibika vibaya , nadhani kutakuwa na majeruhi..
Mwenye habari zaidi tafadhali
Wakitangaza hiyo kazi, nitaombaKuna haja ya kuongeza adhabu ya viboko kwenye makosa ya barabarani tena unalambwa on the spot hasa hii issue ya matumizi ya barabara za haya mabasi yaendayo haraka.
Kila basi litembee na askari or mgambo kwa ajili ya zoezi la kugawa bakora na fine za papo kwa papo.
Nipo napita hapa usalama ndani ya UDART, kuna basi limepata ajali mbaya na limeharibika vibaya , nadhani kutakuwa na majeruhi..
Mwenye habari zaidi tafadhali
==========
Hawa wote wana makosa wa Udart na vitz sio mda wote yanapita moja kwa moja kuna sehemu yanatakiwa kusimama kupisha magari mengine kuvuka barabara sasa hapo ndo wa udart na normal cars hawafati sheria tatizo mwapenda kulaumu upande moja mbona daladala hazigongi hovyo tena wao wako changanyikeni. Uendeshaji wa madereva wengi dar ni mubovu na kutokua makiniSemina elekezi ya nini kama sio kuharibu pesa....
Haya magari yana njia zake, hakuna overtaking....
Sheria ya kugonga haya mabasi inatakiwe iwe kama ile sheria ya ukigonga mnyama pori mbugani...
Ukiligonga tu, unaacha gari unakimbia....faini si chini ya milioni 15....
Umeniwahi nilitaka kusema namna hii wabongo ni vichwa Ngumu....wameambiwa wasipite zile utakuta MTU na kiVITZ chake anapiga konga kupita mle...Honestly ajali zingine watu wanajitakia na watu kulaumu sijui barabara finyu...sio kweli watu tubadilike tupunguze ulalamishi usio na sababuSwala sio semina kwa mwendokasi bali viburi kwa madereva wa magari mwingine kutumia barabara ya magari ya mwendokasi wakati ilishakatazwa. Yani watz sijui tuna akili gani
Nikweli baadhi ya madereva sio coz %kubwa wamechukuliwa kutoka kuendesha maDALADALA...hata Mkurugenzi wao alilalamika Jana..lkn pia wanadarisalama wengi...wanaishi kwa mazoea hawaheshimu Sheria za barabarani...Nadhani hata madereva wa haya mabasi wana tatizo mbona wa daladala hawagongani hovyo ka wao wawe makini Mara waue RAIA kwa kisingizio cha njia maalumu
Ataambiwa akifika mahakamaniKwa sheria ipi?
??????Wewe kweli jinga lao yaani badala ya kuaoka unataka uwe wa kwanza kuleta mada jf.