Basi la Happy Nation Lapata Ajali Hedaru Laua wawili

Basi la Happy Nation Lapata Ajali Hedaru Laua wawili

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
AJALI KILIMANJARO: Watu 2 wafa papohapo baada ya basi la Happy Nation (Arusha-Dar) kugongana na gari dogo, Hedaru-Same leo mchana. Polisi wathibitisha jioni hii.

Chanzo: Mwananchi Breaking news.
Hilo gari dogo aliekuwa anaendesha namfahamu Anatwa Denis amesoma Udom na alikuwa anafanya kazi Exm arusha. Ni kijana mdogo around 24 years. alikuwa akitokea DSM.
Cha kusikitisha wamekufa wawili yeye na Kaka yake.
Nimekutana nayo hiyo ajari nikitokea Arusha,nilipo jaribu kuulizia mashuhuda walidai kuwa hilo gari dogo(carina) lilikuwa linayumba(inasemekana dereva alisinzia)na dereva wa basi alijitahidi kumkwepa ikashindikana ki ukweli ni viungo vimegawanyika inasikitisha.RIP
Ni mtu na mjomba wake.
Mahandsome balaa.
R.I.P Makaka
 

Attachments

  • IMG-20141012-WA0063.jpg
    IMG-20141012-WA0063.jpg
    85.3 KB · Views: 3,119
  • IMG-20141012-WA0059.jpg
    IMG-20141012-WA0059.jpg
    190.3 KB · Views: 2,689
  • IMG-20141012-WA010.jpg
    IMG-20141012-WA010.jpg
    52.9 KB · Views: 1,841
  • IMG-20141012-WA008.jpg
    IMG-20141012-WA008.jpg
    157.5 KB · Views: 1,649
  • IMG-20141012-WA007.jpg
    IMG-20141012-WA007.jpg
    38.6 KB · Views: 2,087
Inasikitisha sana jamani,hiyo gari ndogo naona imebondeka vibaya sana kwa mbele.

Huu mzimu wa ajali utatumaliza watanzania.Sasa sijui nani mwenye makosa maana naona gari zote zipo pembeni mwa barabara.
 
Inasikitisha sana jamani,hiyo gari ndogo naona imebondeka vibaya sana kwa mbele.

Huu mzimu wa ajali utatumaliza watanzania.Sasa sijui nani mwenye makosa maana naona gari zote zipo pembeni mwa barabara.

Basi ndio lenye kosa huoni upande lilipo.
 
Basi ndio lenye kosa huoni upande lilipo.

Ina maana basi liliifuata gari ndogo mpaka njee ya barabara au zilivaana katikati ya barabara na kuelekea kando kabisa mwa barabara.

Inaonesha basi lilikuwa katika kasi ya ajabu kama kawaida ya happy nation.

Pumzikeni kwa amani marehemu wote.
 
Kwa harakaharaka inaonyesha dereva wa bus ali overtake bila tahadhari/waliovertake wengi naye slifuata mkumbo bila kuwa na clear visibility. Na hiki ndicho chanzo cha ajali nyingi ktk barabara zetu.
 
wapumzike kwa amani waliotangulia mbele ya haki...ameen
 
Back
Top Bottom