Basi la kampuni ya Happy Nation lapata ajali, leo Agosti 12, 2023

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi hilo lililokua linatokea Mwanza kuja Dar es Salaam limepata ajali maeneo ya Hungumalwa kata ya Kwimba mkoani Mwanza.

Ajali hiyo imetokea baada ya basi kuparamia lori la mbao.

Hali za abiria ni majeruhi na vifo vipo kwa dereva wa lori.

IMG_8459.jpg
 
Jana nimekuepo kwa ofisi hiyo nikate tiketi ya kuja dar leo tareh 12 ila kabla sijakata napata taarifa iliyosababiaha niisogeze safari hadi jumatatu.

Mungu awatie nguvu majeruhi wapone haraka, RIP kwa marehemu.
 
Ukatoe na sadaka ya kumshukuru Mungu..Kila jambo hutokea kwa sababu fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom