Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Pamba kali za Dar Moshi za alfajiri nazopandaga.

1. BM Coach
2. Marangu Coach
3. Extra Luxury
4. Kidia One

Juzi nimempandisha Esther mwanangu mmoja alikuwa anaenda Dar nalo ni basi zuri sana. Japo sijawahi kulipanda. Ila hao top 3 niliowataja ni the best.
 
Panda Metro coach, ukutane na wazungu, watasha, lugha ya mawasiliano ni kimombo hakuna kibantu.

Nilipandaga miaka ya 2013 wakati niko shuleni hadi leo sijaona la mfano wake, bus kama ndege
 
Habari zenu wakuu ninatarajia kuwa na kasafari kuelekea Arusha nasikia ni safari ndefu kidogo so nauliza gari nzuri kutoka DSM to Arusha ambayo itafanya safari isiwe ni yenye kuchosha, wajuzi karibuni.
 
Marangu Coach haitadhuru! Ukiona vipi unaweza switch to BM Coach pia. Zote quality moja, office ziko Shekilango
 
Habari zenu wakuu ninatarajia Kuwa na kasafari kuelekea arusha nasikia ni safari ndefu kidogo...so nauliza gari nzuri kutoka Dsm to arusha ambayo itafanya safari isiwe ni yenye kuchosha...wajuzi krbuni
Ziko nyingi tu.
Kama unataka luxury nzuri ni Kilimanjaro express nauli 33000 haipungui hata buku.
Ukitaka class ya kawaida ila wapo smart kuna Kidia one na nyingine Happy nation pia kuna Esther,hizi nauli zake hazitabiriki inategemea ujanja wako hata kwa elfu 25000 au 22000 unakwenda.
Kwa hiyo angalia mfuko wako umejipangaje.
 
Bm, esther, extra, dar exp, kidia one, klm, marangu, tahmeed.... Alphabetically arranged.
 
Ziko nyingi tu.
Kama unataka luxury nzuri ni Kilimanjaro express nauli 33000 haipungui hata buku.
Ukitaka class ya kawaida ila wapo smart kuna Kidia one na nyingine Happy nation pia kuna Esther,hizi nauli zake hazitabiriki inategemea ujanja wako hata kwa elfu 25000 au 22000 unakwenda.
Kwa hiyo angalia mfuko wako umejipangaje.
Ahsante mkuu
 
Habari zenu wakuu ninatarajia Kuwa na kasafari kuelekea arusha nasikia ni safari ndefu kidogo...so nauliza gari nzuri kutoka Dsm to arusha ambayo itafanya safari isiwe ni yenye kuchosha...wajuzi krbuni
Nimesafiri na karibu magari yote yenye majina makubwa Arusha-Dar (to and fro)!
Kuongea kwa bila fitna, gari ambayo nime enjoy na safar ni Kidia One, ni very comfortable, huduma nzuri sana, unagaiwa kahawa/chai ndani on request (free)!!

Sitaki kuongelea mabus mengine, lkn kiukweli mengine ni majina tu ndo yanayabeba, jaribu Kidia one najua utarejesha mrejesho hapa.

Ninayo namba yao ya Arusha kama hutojali jst take it wataku link na ofisi za Dsm!!

Namba ni 0715113344 (Kidia One Arusha)
 
Njoo na Marangu Coach wewe.....hutajuta.......
 
Nashukuru mkuu namba nimechukua
 
Salaam..!! Naomba kujua ni bus nzuri ambayo inafanya safari zake Dar- Arusha. Maana nimejaribu kuwachek Shabiby line naona tarehe nayotaka kusafiri hawana bus. Nataka iwe luxury bus
 
Back
Top Bottom