Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Salaam..!! Naomb kujua ni bus nzuri ambayo inafany safar zake dar- arusha. Mana nimejarbu kuwachek shabiby line naona tarehe nayotak kusafir hawana bus. Nataka iwe luxury bus
Wacheki kilimanjaro wanayo ya saa 2 kama sijakosea.
Tahmeed wanayo ya nairobi, hii ni luxury kweli kweli ni 1x2, unalala kabisa na seat yako. Ila sikuona kama wana mososi.
 
Salaam..!! Naomba kujua ni bus nzuri ambayo inafanya safari zake Dar- Arusha. Maana nimejaribu kuwachek Shabiby line naona tarehe nayotaka kusafiri hawana bus. Nataka iwe luxury bus
Watafute Esther Luxury
 
AIR BUS. NA UNAWAHI KUFIKA.

Wakuu habari.

Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika.

Ahsante.
 
Salaam..!! Naomba kujua ni bus nzuri ambayo inafanya safari zake Dar- Arusha. Maana nimejaribu kuwachek Shabiby line naona tarehe nayotaka kusafiri hawana bus. Nataka iwe luxury bus
Tafuta Kidia One wana route ya Kupitia Bagamoyo ya Saa kumi na mbili asubuhi, hutojuta mkuu. Ni 2*2 ila comfortable
 
Wakuu habari.

Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika.

Ahsante.
Wadau basi la uhakika Dodoma to Kahama ni lipi asante!
 
Wakuu habari.

Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika.

Ahsante.
Tahmeed coach
Bm coach
Kidia one express DTC
Marangu coach
Kilimanjaro express
 
Wakuu nime-search humu uzi wa mambo ya mabasi wa mdau Falcon siuoni, naomba mdau anayejuwa route ya Dar Moshi Arusha nahitaji kupanda luxury ya two by one yenye toilet na tv kwenye kila seat.

Binafsi naijuwa BM na Tahmeed inayokwenda Nairobi ila muda mrefu sijapanda, na najuwa kwenye industry hii ya transportation ushindani ni mkubwa hivyo kuna uwezekano kuna kampuni iko kwenye chati kwa sasa kuliko hizokampuni mbili ambazo nimewahi kusafiri nazo.

Kwa mdau anayejuwa tutiririke hapa tupeane information.
 
Kapandie pale kwa daraja la MFUGALE, ukifumba macho ukifumbua unajikuta Old Moshi au Majengo pale Moshi
 
BM hutojutia!

Kaanzisha na Dar Dodoma..

Shabiby, ABC wajipange! Nilisafiri last week.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom