Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
- Thread starter
- #21
Sure? Hizi ndio nataka.Tahmeed ipo vizuri sana,zile nyeupe. Two by one!
Sure? Hizi ndio nataka.Tahmeed ipo vizuri sana,zile nyeupe. Two by one!
Shukrani. Hadi sasa highly rated ni Kilimanjaro, BM na Tahmeed.Panda BM ile ya saa 11:30 alfajiri via Bagamoyo. Hutojuta.
1)TahmeedShukrani. Hadi sasa highly rated ni Kilimanjaro, BM na Tahmeed.
offer kwa Jf family member.Ushauri mzuri. Hili ndio basi langu. Siti za two by one. Kama hupendi kubanana na hupendi stori njiani na watu usiowajua kama mimi, unachukua siti ya peke yako. Unasafiri kwa utulivu bila bughdha.Tahmeed ipo vizuri sana,zile nyeupe. Two by one!
Panda BM wako vzr ktk time management na hata huduma zao, nilikuwa mteja mzr wa Kilimanjaro lkn baada ya kuwa wameanzisha utaratibu wa kukaa pale Korogwe nusu na kufika Arusha saa mbili usiku, nimehamia BM.
BM linatoka saa kumi na moja na nusu au kumi na mbili na kufika Dar/AR saa kumi na moja.
Kwangu mimi:
1. BM
2. Tahmeed
Then mengine yanafuata
1. Tahmeed
2. BM
3. Kilimanjaro
4. Dar Express
5. Esta, Kidia, Extra, Marangu, Mbazi, Machame nk
6. Dar Lux
7. Hayo mengine...
mimi kwenye suala la haya mabasi sijajua luxury huwa wanamaanishaga nini
mimi naangaliaga kampuni na upya wa gari maana na kuwa na uhakika kidogo wa safari ila suala la uluxury bado aiseee
kama ni miguu hakuna nafasi kubwa ya kunyoosha na mitikisiko ndani ni kama kawaida
mimi kwenye suala la haya mabasi sijajua luxury huwa wanamaanishaga nini
mimi naangaliaga kampuni na upya wa gari maana na kuwa na uhakika kidogo wa safari ila suala la uluxury bado aiseee
kama ni miguu hakuna nafasi kubwa ya kunyoosha na mitikisiko ndani ni kama kawaida
ila kiongozi hizo 2 by 2 na choo ndani ndo kunafanya gari iwe luxury duhDaraja la Chini 3x2 haina AC wala USB ports
Daraja la Kati 2x2 AC, USB ports na refreshments
Daraja la Juu 2x1 au 2x2 ilio na Choo ndani pamoja na AC USB na refreshments
Dar Express zote ni 2x2
Kilimanjaro 2x2 pamoja na 2x1 Chache
Extra Luxury 2x2
Kidia One 2x2
BM Coach 2x1 pamoja na 2x2
Marangu Coach 2x2
Tahmeed 2x1
DarLux alikuja vizuri lakini kwa sasa magari yake mengi yana shida ya service
Gari nzuri za kwenda Kaskazini (Arusha na Moshi) ni zile zinazoanzia Shekilango
kuna basi la kampuni flani nilipanda ilikua ni full acJaribu kupanda tahmeed ya nairobi mkuu, hautojuta kamwe.
Full kipupwe, refreshments na seat unalaza mpaka mwisho kabisa. 1x2 safi.
ila kiongozi hizo 2 by 2 na choo ndani ndo kunafanya gari iwe luxury duh
kuna
kuna basi la kampuni flani nilipanda ilikua ni full ac
chakushangaza vinywaji navyo wanagawa ni vya baridi balaaa nikaona duh hatari hiii
Nauli yao ni kiasi ganiJaribu kupanda tahmeed ya nairobi mkuu, hautojuta kamwe.
Full kipupwe, refreshments na seat unalaza mpaka mwisho kabisa. 1x2 safi.
Acha kumchuuzaPanda KAPRICON saa 7 upo Arusha