Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,913
Hii nayo bei final destination ni wapiPanda Kidia One ipo poa mno
Hii nayo bei final destination ni wapiPanda Kidia One ipo poa mno
Tahmeed coach
Bm coach
Kidia one express DTC
Marangu coach
Kilimanjaro express
Ni BM ya seat za two by one?BM hutojutia!
Kaanzisha na Dar Dodoma..
Shabiby, ABC wajipange! Nilisafiri last week.
Everyday is Saturday............................... 😎
hivi Dar express wamekuwaje siku hizi...?Tahmeed coach
Bm coach
Kidia one express DTC
Marangu coach
Kilimanjaro express


Mkuu usijaribu kupanda hii gari, huduma yake ni mbaya sana. Haina muda maalum kutoka stendi na inaspeed utafikiri wanasafirisha samaki. Tumia kilimanjaro au marangu hutajutaNi luxury ama semi luxury?
Hiyo seat ya two by one ndio ikoje mkuu?Ushauri mzuri. Hili ndio basi langu. Siti za two by one. Kama hupendi kubanana na hupendi stori njiani na watu usiowajua kama mimi, unachukua siti ya peke yako. Unasafiri kwa utulivu bila bughdha.
Afu hicho kialama cha fork 🔱 kinamaanishaga nini naomba kueleweshwa.1. Tahmeed ♨
2. BM 🔱
3. Kilimanjaro ✅
4. Dar Express
5. Esta, Kidia, Extra, Marangu, Mbazi, Machame nk
6. Dar Lux
7. Hayo mengine...
🔱 Alama hii ya mkuki wenye sura tatu inaonekana sawa na uma/fork ni emoji ambayo inaashiria "trident emoji" hii pia unaweza kuitumia kama ishara ya mkuki wa silaha lakini pia mara nyingi huonekana juu ya sanamu za miungu ya kirumi au kigiriki.Afu hicho kialama cha fork 🔱 kinamaanishaga nini naomba kueleweshwa.
Bado hakuna mwingine mwenye sifa hizoWakuu nime-search humu uzi wa mambo ya mabasi wa mdau Falcon siuoni, naomba mdau anayejuwa route ya Dar Moshi Arusha nahitaji kupanda luxury ya two by one yenye toilet na tv kwenye kila seat.
Binafsi naijuwa BM na Tahmeed inayokwenda Nairobi ila muda mrefu sijapanda, na najuwa kwenye industry hii ya transportation ushindani ni mkubwa hivyo kuna uwezekano kuna kampuni iko kwenye chati kwa sasa kuliko hizokampuni mbili ambazo nimewahi kusafiri nazo.
Kwa mdau anayejuwa tutiririke hapa tupeane information.
Haha mkuu utakuja kupandishwa kitu cha ajabu, stendi raia zipo kimaslahiNenda stendi uulize
Shabiby abc kimbinyiko ni magiant huko, wajipange wale wanyonge wenye gari mbili mbiliBM hutojutia!
Kaanzisha na Dar Dodoma..
Shabiby, ABC wajipange! Nilisafiri last week.
Everyday is Saturday............................... 😎
Dar Lux kwisha habari yake.Dar Lux baba lao
Ndio ni trident emoji ila sasa nataka kujua wewe umemaanisha nini hasa na kama unamaanisha silaha ya mkuki ulitaka kumaanisha nini kwenye jibu lako?, samahani lakin nataka nijue tu maana yake kila wakati nikiiona nashindwa kuelewa "the basic implication" huwa wanamaanisha nini manake hata Idriss Sultan kwenye Twitter bio yake ameweka "I am 🔱" now I don't get what he actually means.🔱 Alama hii ya mkuki wenye sura tatu inaonekana sawa na uma/fork ni emoji ambayo inaashiria "trident emoji" hii pia unaweza kuitumia kama ishara ya mkuki wa silaha lakini pia mara nyingi huonekana juu ya sanamu za miungu ya kirumi au kigiriki.
AnachechemeaDar Lux baba lao
hivi Dar express wamekuwaje siku hizi...?![]()
Upande mmoja ni siti ya mtu mmoja mmoja na upande wa pili kuna siti za watu kukaa wawili wawili.Hiyo seat ya two by one ndio ikoje mkuu?
Kwahiyo jumla kuna rows 3?Upande mmoja ni siti ya mtu mmoja mmoja na upande wa pili kuna siti za watu kukaa wawili wawili.