Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

Niliwahi kupanda iringa - Mwanza gari ilkuwa fikoshi au premier(nimesahau).
Ila yote yalikuwa yanaongozana halafu yote miyeyusho.
Sitasahau, nilisimama kutokea iringa mpaka nimefika Singida ndio nikapata siti.
Magari ya Mwanza to Mbeya miyeyusho sana.
 
Mombasa raha ,Mwanza Bukoba...Konda Msukuma Dah! Ongea yake sasaa aaasee ndo ilikua mara yangu ya kwanza kuwasikia wakiongea Hawa watu🤣🤣 Toka Tanga mie.Yaahee! Nilikua Kila aaikiongea na ntizama Wacha animaindiii🤣🤣🤣
 
Kwanini mabasi yenye kunguni Ni ya KIGOMA, BUKOBA, MUSOMA, MWANZA na GEITA TU.
Huku Arusha, TANGA, Moshi huwezi kukuta kunguni hata kwenye ngwalangwala Kama Kilimanjaro express?
Why Kanda ya ziwa tu.
 
Tawakal nilipandia Iringa kuja Dar na mbaya zaidi nilikaa pale next na dereva..yaani pale kitonga miaka hiyo ya 2000 jamaa alikuwa ananyonga kona akiwa na speed ya 80 hadi 90 Nilihama siti nikaenda kukaa number 60. Yule Dereva alikuwa na roho gumu sana
 
Libanika
Katarama wakat bado mpya ilipata ajali pale shelilango wakat inatoka asubuhi ndipo tukaambiwa abiria wa katarama tunapandishwa libanika weeee jamaniii jamaniiii sitasahauu nilifika kesho yake alfajiri mwanza mwili umechoka miguu imevimba Sina hali
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…