Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
πππ Huu ushirikina sasaKuna basi nilipanda kutoka ifakara to Dodoma, aise gari ndani Lina mifugo mingi kuliko abiria, just imagine mtu anapanda ndan ya bus amebeba mbuzi na kuku ndan ya gari,,kilicho niboa zaid nimelala usingiz kuja kushtuka nashangaa mbuzi ananilamba nywele.
ThubutuSijaona comment kwa Route za Dar TANGA
Dar Arusha
TANGA Arusha
Huku Ni ustaarabu [emoji817]
Jina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017
NajumunisaNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
πππππππ Huu ushirikina sasa
Ushawahi kupanda Alhashoom wewe hahahaha kutoka Dodoma hadi Moro ni siku nzimaNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Yeah mjanja alinipenyezea kuwa ni kampuni ya sumry inajaribu kujikusanya tena.Ha
ha haaa. Hili lina mlango wa katikati sio mkuu?.
Niliwahi panda toka Mbeya nikashukia Singida. Wenyeji walinishangaa jinsi nimetumia muda mwingi kufika.
Zile socket kama za nyumbani nahisi unaweza hata nyoa ndevu huku gari linatembea kama una mashine ya umeme.
Ushawahi kupanda Alhashoom wewe hahahaha kutoka Dodoma hadi Moro ni siku nzimaNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
π π π π asante nina siku nyingi nimecheka hivi Inasemekana tanzania ni chaneli ya vichekesho inawezekana kweli lohBwana kuna chuma kinaitwa upendo
Coach
Sijui mmiliki ni msabato siku hiyo dereva na konda wake wakajichanganya wakapiga tukwaya twao kumbe wazee wa kobasi wapo inside the building
Nnachowapendea wana maamuzi magumu wakagombana na dereva na konda mmoja wao akatoa flash akapachika kwenye basi
Tena na basi lilikua bovu mwendo wa kobe ilikua ni mwendo wa kaswida mkipumzika ni mawaidha mkisimama kaswida mkichuchumaa mawaidha mpaka tunafika
Mpaka leo hii mtaani nabishana na watu baadhi ya mafundisho yao kumbe ABC za wazee nilizipata kwenye safari moja tuπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyoo ni hilo hilo. Jamaniii sio kwa Kungunii walee khaaaah.Osaka raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Litakua ndio hilo hiloo.. limechoka hatari[emoji1787][emoji1787] Cha ajabu jamaa huwa wanawakatisha nauli za luxury halafu asubuhi wanalileta hilo trekta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunuka samli tena??? Kuna wengine wana panda na mifugo kama Bata, wana waweka chini ya siti, sasa hao Bata wakawa wana mng'ata abiria ambae alikuwa bishoo mmoja kavaa pensi na raba alikuwa siti ya mbele...![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza wahudumu wao hasa wadada ni washenzi hatarii, nilicharuana na m1 wakat huo niko advance hatakaa anisahau yulee mbwaaa!! Mxxxxiieeeww!!Kampuni ya kishenzi sana hii yani Safari kutoka SONGEA mpaka MOSHI lakini hawana USB chargers, dereva wanalala balaa doh!
Dar to Mahenge, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidinilo
Nilikomaa, nilivyofikaa nilimchamba mwenyeji wangu!! [emoji23][emoji23][emoji23]Koma[emoji23][emoji23]
mabasi mabovu yapo, na mfano ni saibabaHuko Magari yote mapyaa...mazuri na yana ustaarabu, hata Arusha - Dodoma...barabara ya Dar - Arusha ukiweka gari baya tu unatolewa kwenye route na magari makali