Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
 
Moja ya sifa kubwa ya kiongozi ni kuhimili vishindo vya kukosolewa lakini yeye hana kabisa uwezo wa kustahimili vishindo vya ukweli na kukosolewa, na ndio maana watu kutekwa na kupotezwa yamekua ni matukio ya kawaida sasa hivi, Alichofanya jana ni muendelezo wa kuendelea kuthibitisha tuu kwamba hana sifa za kua kiongozi hata kidogo
 
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
Anafosi maji kupanda mlima. Aliupata urais kwa mujibu wa katiba. Kupata iraisi kwa kugombea sio kitu rahisi inatakiwa uwe unakubalika viginevyo unaweza ukaiba kura na bado ukashindwa uchaguzi.
Kile alichoongea jana asitegemee kupata kura kisesa maana kule mpina anakubalika sana
 
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
IMG-20250618-WA0002.jpg
 
Yeye hataki umaarufu? Au anataka maarufu awe pelee yake?

Hayo mabango nchi nzima ya kazi gani?
 
Maushungi kachanganyikiwa huyo, damu za wasio na hatia zinamuandama anajikuta anapaniki hovyo
 
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
Kanda ya ziwa sisi kura hatupigi sio CCM SIO CHADEMA
BORA KUPIGIA POPO KURA KULIKO SAMIA
Hatuwezi kuuza nchi yetu kwa waarabu
 
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
Mbona yeye mwenyewe anatafuta umaarufu. Mara sijui sponsorship elimu ya juu sayansi, mara sijui kijani bond, mara sijui msaada wa kisheria/ sheria, mara ndondo cup!!
 
Rais ni cheo kikubwa sana na cha mwisho katika nchi.

Nchi kama Marekani mtu hata kama alikuwa Professor, akiukwaa urais, hutasikia tena akiitwa professor au dokta, bali utasikia akiitwa Rais, hata akistaafu bado ni rais mstaafu. Professor ni cheo cha chini sana kwake.

Kwa Africa ni tofauti....

Huwa najiuliza, shida ni nini? Kutojiamini? Kama ni sifa na heshima amepewa zote, na ni za juu kabisa nchini kwake
 
Kwani hujui hatujawahi kumtawala mtu yeyote,hata kwa uchawi hata kiuchumi,hata kidini.Ushamba wa utawala bado
 
Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex.

Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la Machawa ili kwenda naye pamoja !! Wasomi wamekula tayari kuacha Taaluma zao pemben na kwenda na mapambio !!.

Jana nimeandika hapa, Ni hatari sana sana Kwa baadhi ya Nafasi kuongozwa na Mwanamke, na nikasema, Mwanamke Maisha yake huendeshwa na HISIA na sio Akili , lakini bado Mwanamke kuongozwa na Hisia Haina maana kwamba hawapo Wanawake Duniani ambao Uwezo wao mkubwa wa Akili umejidhirisha kwenye Safari zao za ELIMU !!!! .

Ni wazi, RAIS anaugonvi Mkubwa na WASUKUMA , anawachukia sana WASUKUMA, Mashambulizi anayoyapeleka Kwa Viongozi wa Kisukuma , yanadhihirisha Kwa namna gani alimchukia Magufuli, Kwa namna gan anawachukia WASUKUMA !!.

Nadhan aelewe, Ile ndio Kanda ya Ziwa !!. TUNATAKA MABADILIKO ALAFU TUMUONYESHE KWAMBA ILE NDIO KANDA YA ZIWA !!.
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.
 
Hajui kwamba Mpina ni maarufu sasa kuliko yeye.

Hao watu wa kusomba kwenye malori kama mifugo wasimtie kichwa.
 
Back
Top Bottom