Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Wewe jamaa una maslahi naye??,Au ni jamaa yako?.Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Wewe jamaa una maslahi naye??,Au ni jamaa yako?.Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Umejuaje kuwa hapo siyo Ulaya mkuu?Ulaya hawezi kwenda , hana hela ya kuishi kule ; hapo ni bondeni kwa rafiki zake wauza NGADA aliowalinda alipokuwa madarakani!!
Ngoja ziishehuyu jamaa kapiga pesa ndefu sana ana enjoy, kuna member alienda mbali hadi kudai jamaa bado ameajiriwa serikalini kwa sababu hakufukuzwa kazi
Claud ndio wapi mkuu?Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Ndio anazidi kuonesha ujuha wake.. Tayari yuko kwenye blacklist ya marekani. Angekaa kimya aachane na hizi faraja za kitoto ana tuhuma za mauaji hayuko salama.. Hao wanaomlinda wakimchoka yatamtokea yaliyompata Charles Taylor NigeriaYuko zake mambele anatuchora tuView attachment 2121219
Claud ilikuwa propaganda tu CCTV iliyotoka ilikuwa ya anayoingia tu lakini ile ya kusema anawapiga mbona haikutoka..??Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Sema Suu!!Swali ni je alitorokaje? Nani alimsaidia exit
Hizo hadithi Mkuu RC hawezi kuwa wanted USA kilichotokea alikuwa anatafutwa mwajiri wake na sasa hayupo. Mkuu wa nchi ndiyo anayo mamlaka ya kufanya aliyofanya Makonda bora hata angekuwa WaziriNdio anazidi kuonesha ujuha wake.. Tayari yuko kwenye blacklist ya marekani. Angekaa kimya aachane na hizi faraja za kitoto ana tuhuma za mauaji hayuko salama.. Hao wanaomlinda wakimchoka yatamtokea yaliyompata Charles Taylor Nigeria
Umejuaje kuwa hapo siyo Ulaya mkuu?
Sometimes huwa nahisi hivi sana.ni kweli,katika wanaomsema vibaya wapo wauza ngada pia au watu ambao kwa namna fulani aliwagusa
Field Marshal anaweza kuonewa!Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Acheni ujingaAnaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Kwahiyo muhalifu akifukuzwa kazi ndio basi? Punguza ujjingaShetani hana muda wa kuwa na amani.
Mlitaka afukuzwe, kafukuzwa ,ofisi iko mikononi mwenu, fanyeni kazi msitafute kisingizio.
Mvuvi hujitafutia kisingizio.
Huoni aibu kumtetea jambazi Bashite?Claud ilikuwa propaganda tu CCTV iliyotoka ilikuwa ya anayoingia tu lakini ile ya kusema anawapiga mbona haikutoka..??
Kauli nyengine muwe mnazitafakari kwa kina mfano kuingia claud na mitutu ya bunduki halikuwa kosa!,coz yule alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mkoa husika sasa usiku ule walitegemea atembee na deli la maandazi..?
Hivi unakuwaje askari utembee siraha umeacha nyuma..? [emoji28]
Haaaaa na wewe unashindwa nini kupiga pesa ndefuhuyu jamaa kapiga pesa ndefu sana ana enjoy, kuna member alienda mbali hadi kudai jamaa bado ameajiriwa serikalini kwa sababu hakufukuzwa kazi
nimepiga ila sina wa kuenjoy nae,njoo basiHaaaaa na wewe unashindwa nini kupiga pesa ndefu
Picha sio ya zamani hiyo,hata Mo Dewji alikwenda hapo msibani,msiwe mnabisha kwa vitu msivyo vijua.Picha ya zamani saaaana
Pannua ubongo wako kuelewa hiyo komenti yangu.Huoni aibu kumtetea jambazi Bashite?