Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,554
Yuko zake mambele anatuchora tu
Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...huyu jamaa kapiga pesa ndefu sana ana enjoy, kuna member alienda mbali hadi kudai jamaa bado ameajiriwa serikalini kwa sababu hakufukuzwa kazi
ni kweli,katika wanaomsema vibaya wapo wauza ngada pia au watu ambao kwa namna fulani aliwagusaAnaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Sasa kama ni ku follow order kwanini Sabaya awe jambazi na afungwe?Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Sasa si ndo apokee samansi mkuu ajitokeze tu kisha aelezee huko kuonewa. Mbona huwa tunaaminishwa mahakamani ni sehemu salama sana na yeye hana makosa kabisa, sasa kujificha huku maana yake nini mkuu?Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Mkutwa na ngozi...Anaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Kwahiyo bado analipwa mshahara??huyu jamaa kapiga pesa ndefu sana ana enjoy, kuna member alienda mbali hadi kudai jamaa bado ameajiriwa serikalini kwa sababu hakufukuzwa kazi
Ndo mjifunze, sio kila order unaitekelezaAnaonewa sana, Tuhuma nyingi haxina ushahidi,, ile ya claud itakuwa alikua anafollow order tu...
Hivi unamjua stone au unamsikia tu?Ndo mjifunze, sio kila order unaitekeleza