Na hii ndo inaipa jeuri ccmTatizo sio kumng'oa ishu iko hapo kwenye tume maana wana uwezo wa kupindua kama alivyofanya jecha kule zanzibar
[/QUOTE]Mie napenda BM awe Rahisi na W/mkuu wake ae makamba ili tuanze kula bata kama enzi za kikwete.Kipindi cha kikwete kurudi home na laki kila baada ya siku mbili kama posho ilikuwa poa..Sasa hhivi hamna
Nawasilisha.
Wewe nawe huna haya kabisaHahahaa...... Membe siyo Bulembo utakoma kuvamiavamia.......unaye huyo wenyewe wakongwe wanamwita la mdimu!
KM na mwenyekiti wake wote ni hewa. Usijekuta Chakubanga ndio ame create hiyo account ili kuleta mchafuanokama ni hewa basi katibu mkuu anatakiwa kuwajibika kwa kuachia nafasi yake, haiwezekani atutoe kwenye reli kwa siku zote hizi!
Kichefuchefu kiko hapa.Na hii ndo inaipa jeuri ccm
Mwenyekiti wa tume hawez kupinga maelekezo kutoka kwa bos wake (mteuzi) maana anajua fika kuwa endapo cdm au cham chcht cha upinzan kikichukua madaraka, yeye na wasaidizi wake watafyekelewa mbali maana sheria ya uchaguzi itabadilishwa na tume itapunguziwa nguvu ilonayo sasa
Yaa uko sahihi shida tupate tume iliyo huru basi kila kitu kitakuwa wazi bila hivyo tusahau ccm kutoka madarakani na kumbuka mh.rais alishasema ccm itatawala milele anachoringia ni tume yake tuu huko kwenye vyombo vya ulinzi anavyotegemea hamna shida wao wenyewe wanaelewaNa hii ndo inaipa jeuri ccm
Mwenyekiti wa tume hawez kupinga maelekezo kutoka kwa bos wake (mteuzi) maana anajua fika kuwa endapo cdm au cham chcht cha upinzan kikichukua madaraka, yeye na wasaidizi wake watafyekelewa mbali maana sheria ya uchaguzi itabadilishwa na tume itapunguziwa nguvu ilonayo sasa
Habari za Membe , zinaletwa na wana CCM wala sio CHADEMA, haya ndio makusudio yetu kama wana CCMMahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.
Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.
Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,
Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Akili zingine bauana; tunao ushahidi wa baadhi ya maamuzi alio wahi kuyafanya alitoa HUMU. Nani kakwambia mtu anashibaga ELIMU!? Naamini mhe pamoja na hao walio mzunguka but still hua anapitia humu. Hivi hujui kua sometimes washauri na watendaji hua wanaweza kukushauri na kufanya kile unacho kipenda!? Ili aujue ukweli, ni lazima apitie hawa invisible ili ajue mengine yaliojificha au anao fichwaShida ya jf humu kila mtu ni mjuaji. Yani unakuta mtu anajifanya anataarifa nyingi na SAHIHI kuliko magufuli. Hakuna mtanzania mwenye source nyingi za habari na SAHIHI kuliko Rais. Ukikuta jf member anajitia mjuaji kuliko magufuli, huwa maajabu sana.
Obvious anaefuata ni MajaliwaaaYani hata na kikwete angeungana nao na mkapa na kinana kumuangush Magu hio ni ndoto ambayo haitatimia kabisa jamaa anapiga 10yrs anakabidhi kijiti kwa huyo anaefata sijui nani
What goes around comes around
It is time for membe to run and never return walahi
Hilo siwezi kuacha, nilikata mauno nikapiga mimba mtu then ukazaliwa wewe, leo unataka niache? Nani kakwambia kama sitaki wadogo zako!?Endeleen kuimba na kuyakata mauno wenyewe
Naona mmeanza kuweka silaha chini eee.Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.
View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Cha ajabu, naona Membe badala ya kufurahia huduma, mawazo yake yako mbingu ya tano. Anafikiria jinsi anavyoaibishwa kuletewa umeme na mwenzake wakati yeye alishindwa miaka 15 akiwa Mbunge na Waziri.
Huyu udc autoe wapi huyu ni musiba wa kijarida cha tanzanite.We mgambilwa ni yule Dc kijana uliehamishiwa Lindi..ukitokea hapo Dsm! No wonder una ID 2 hii na ile ya Rondo..na una access na documents za mkoa huo ndo mana unatupiamo vipicha picha!